Home Search Countries Albums

It's Okay

RAPCHA

It's Okay Lyrics


Nlipokucheck kwa phone
Hata nikuone simu ulikua huzioni
Trying to reach you ila unanikimbia nkaanza kudata alone
Father anasema son unaisha mwili na nuru inashuka usoni
Najiinamia navuta another joint nahisi niko ndotoni
I’ll be okay
Ishapita I’ll be okay
Muda utapita and I’ll be okay
Nshapata remedy i feel okay
Karma inakuja inabidi upay
Moyo ulitaka tu ukutetee
Wewe ukataka tu uniongopee
Japo nlitaka sana tuendelee
Basi nipotezee

Umeniblock ili nsione unachopost. that’s okay
Umeniintroduce kwa wana as a friend. that’s okay
Everyday uko busy, sikuulizi. that’s okay
Na chochote utachofanya, it’s okay, I’m okay

It’s okay with me (sawa tu)
I’m okay (sawa sawa sawa sawa tu)
It’s okay with me
I’m okay
It’s okay with me (sawa tu)
I’m okay (sawa sawa sawa sawa tu)
It’s okay with me
I’m okay

Nilijiforce ukanipa uchizi nikaona nisicomplicate
Sisikilizi ngoma zote ambazo nilikudedicate
Umenishawishi niwe mbishi kuziamini hizi sketi
Silazimishi wale wabishi nazi haiwezi kudigest
Na nashukuru nimeshtuka, soon i was fall deep
Na kuiona sura yangu kwenye show uwe na fee
Put some respect on my name namba yangu isave hivi
Sugar dady ambae atanipa Gono na HIV

Umeniblock ili nsione unachopost. that’s okay
Umeniintroduce kwa wana as a friend. that’s okay
Everyday uko busy, sikuulizi. that’s okay
Na chochote utachofanya, it’s okay, I’m okay

It’s okay with me (sawa tu)
I’m okay (sawa sawa sawa sawa tu)
It’s okay with me
I’m okay
It’s okay with me (sawa tu)
I’m okay (sawa sawa sawa sawa tu)
It’s okay with me
I’m okay

It’s okay
It’s okay
I’m okay yaa
Itakua sawa
Everything is gonna be alright
I’m outside, ntakua sawa
Everything is gonna be alright
I’m outside, ntakua sawa

Everything is gonna be alright I’m outside, ntakua sawa
Everything is gonna be alright I’m outside, ntakua sawa
Everything is gonna be alright I’m outside, ntakua sawa

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : To The Top Vol 2 (Album)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

RAPCHA

Tanzania

Rapcha aka The Last King of 90’s, real name Cosmas Paul Mfoy is a young rapper from Tanza ...

YOU MAY ALSO LIKE