Vita ya Benghazi Lyrics
Uh more gang,
Tumeula gang you know am saying
GGA welcome to Gamboshi
Acha nipige deal nilipe bill
Nipipie cuggi ama Tommy Hilfiger
Ile saa simoni biggy najifeel bigger
Hamwonekani kwenye movement still picture
Nina manzi ka bet Tabaz, the real diva
Babako anachizisha pale kati midfilder
Huwa zinazibitisha nimeawazidi fikra
Love nawatest wanga kwayo ding tinter
Yeah ni unju na nuks kwenye works
Twende kazi, desperado Antonio dangerous
Dangerous, tukifa they gone remember us
Royal to the game moyo safi, tendaraz
Nature na simaanishi kiroboto
Maziko kwa watoto mmejaa mashiko robo
Bado mapigo nondo damu yangu wakidonyonzo
Nakula mingo chocho usiku mawindo koko
Eyoo maringo visonoko umekwisha, time is up now
Fight yenu ilitake off, sa ni touch down
Mziki mnene tough sound nisha puff ounce
Ambavo hamchekeshi mnafanya raia wa laugh loud
I keep going till I'm gone muth'fcker
Konga ndo zone pistol homie John madaraka
Strong na mapacha I though wamego missing
Niko na Mega K uelewe if you don't listen
Uh hii sio verse ni maongezi ya ki-millionaire
Basata acheni siasa kumbukeni pallionaires
Hawana pension cheki jinsi wanavyolia
Marijani wa ajabu ameacha familia
Gamboshi in the night vita ya Benghazi
Picha yake wazi imepikwa na bepari
Michakato ya shilingi naifanya kama Pablo
Smuggle na mapenzi hadi chato
Na bado nipo gado na macargo
Na struggle kila kona kama mafogo wa sato
Napiga dili za mamili na machizi
Tukishamaliza hatusinzi na wazinzi
Gang kubwa ka kampuni ya ulinzi
Wezi wanaomba kiss, kid can kill
Beef namaliza na upanga
Ninja nimebarikiwa kiunoni nina mkwasa
Theluji madini nang'aa maulanga
Usije kuiga hii utapasuka msamba
Mi mjanja sina issue za ukanda
Sijakaa kifala big brother mwampamba
Nimeleta heshima mall town wametamba
Yeah huwa sikondi, sikai bondi hio nakupromise
Sina tamaa ya jacks kama fisi wa king'ori
Sehemu nazojimix watu wangu hawabonji
Macho kama bundi kama askari wa kikudi
Huwa siamini sana maneno ya uzushi
Sipendi zile harusi za ukumbi
Yeah, kituche si vumbi
Ukicheza na mimi lazima waitwe tumbi
Mi nyang'au usiniangalie kwa huzuni
Utachezea ukuni hii si manzese ya uzuri
Shaka la manyangumi, samaki hamgusi
Nimeshamaliza hii sasa mafans mkabugi
Gamboshi in the night vita ya Benghazi
Picha yake wazi imepikwa na bepari
Gamboshi in the night vita ya Benghazi
Picha yake wazi imepikwa na bepari
Gamboshi in the night vita ya Benghazi
Picha yake wazi imepikwa na bepari
Gamboshi in the night vita ya Benghazi
Picha yake wazi imepikwa na bepari
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Vita ya Benghazi
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
NIKKI MBISHI
Tanzania
Nikki Mbishi is a Tanzania hiphop veteran. Genre: Hip-Hop/Rap Record label: Music La ...
YOU MAY ALSO LIKE