Hatupo Serious Lyrics
Onemore time yeah
Majengo Sokoni music
(Paul Maker on the beat)
Ukisema unampenda mbona ghafla ukachange
Change change baby acha kupretend
Ugomvi kidogo tu ni ngumi na macraze
Kwenye media front page baby
Haya sio mapenzi hatuko serious
Haya sio mapenzi hatuko serious
Haya sio mapenzi hatuko serious
Haya sio mapenzi, sio mapenzi
Hesabu ngumu kama algebra, algebra
Accident kwenye zebra zebra
Ndo kwanza tunaanza life hatujajenga jenga
Shetani kapiga kipenga
Men lie, women lie, numbers don't
It's time to get some money
Nigga papa donna
Baby ulaghai, ulaghai kila kona
Hii ni kama barua ya paki kwa Madonna
Nukupa typpa life in cycle
Ulitaka nikupe title
Tulipotoka mbali
Hizi club tunaruka kwaito
Enzi za oi oi sygone
Ni maneno sumu by phone
Tushaishi full na shei
Na kina Elizabeth Michael
Baby tell me how you feel
Nikicheat how you feel
Ukicheat how you feel
Kwa mapenzi unaweza kill
Baby tell me how you feel
Nikicheat how you feel
Ukicheat how you feel
Kwa mapenzi unaweza kill
Ukisema unampenda mbona ghafla ukachange
Change change baby acha kupretend
Ugomvi kidogo tu ni ngumi na macraze
Kwenye media front page baby
Haya sio mapenzi hatuko serious
Haya sio mapenzi hatuko serious
Haya sio mapenzi hatuko serious
Haya sio mapenzi, sio mapenzi
We mapenzi na pesa hio la kasa de papel
Visa zimezidi kujitakasa nishafail
Kiu ikizidi nawasha gingi hata sheli
Kuwa mpole rasta, utadata kimsako kweli
Ushetani pande zote, kila mmoja ndani mwizi
Pweka akili yote, unaeza pata mchizi
Kupunguza hizo pompe, taking time we getting busy
Toka 2014, sikuwahi kupenda hivi
One more time wee, tukiachana ndo anaanza bata
Kiuno kinadunda ukimuona snapchat
Ukitaka kuungana kuna jini mkata kamba
Nimechill drunken master
Baby tell me how you feel
Nikicheat how you feel
Ukicheat how you feel
Kwa mapenzi unaweza kill
Baby tell me how you feel
Nikicheat how you feel
Ukicheat how you feel
Kwa mapenzi unaweza kill
Ukisema unampenda mbona ghafla ukachange
Change change baby acha kupretend
Ugomvi kidogo tu ni ngumi na macraze
Kwenye media front page baby
Haya sio mapenzi hatuko serious
Haya sio mapenzi hatuko serious
Haya sio mapenzi hatuko serious
Haya sio mapenzi, sio mapenzi
(Majengo sokoni music)
Paul Maker sound god
One more time, one more time
Yeah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Hatupo Serious (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
MONI CENTROZONE
Tanzania
Moni Centrozone is a rapper, recording artist, Founder Of Majengo Sokoni Music in Dodoma, Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE