Home Search Countries Albums

Kirimino

NELLY THE GOON

Kirimino Lyrics


Si hio ni kirimino, Si hio ni kirimino
Si hio ni kirimino, Si hio ni kirimino
Si hio ni kirimino, Si hio ni kirimino

Yo ni kirimino
Kama ndlama buda boss kama  vindio
Me nacheki blue unacheki indigo
Nakupenda ata ukinita  indiot (Aiee!!)
Yo ni krimino
Ukirombosa ile part more  critico
Ukidai can we get more  physico
Ukiwasha gode past baze  scenico
Yo ni kirimino
You are kirimino
Ntakupata pale mbele kwenye pinaco
Leo Nairobi kesho nakucheki Singapore
Uku kwetujo ! Si karibu na liquor store (Aiiee )

Si hio Ni kirimino...( X7)

Yo ni kirimino
Ita soldier kuna vile tume  vamiwa
Na mabooster wote leo wame  fagiwa
Manzi wangu wanadai kum katia
Na yee ni chizi mazee
Anawapatia

Utamu wa pesa ni kujibebea
Ndo kirimino wasichecki nikipedea
Na magova wakizusha  ninajitetea
Huezi nipata pale tao nikilegea
Manze mtaani zimeshika tu ki de gea
Red devils betslip nime ekelea
Ikaogelea, nitaendelea  Kweli

Si hio ni kirimino, Si hio ni kirimino
Si hio ni kirimino, Si hio ni kirimino
Si hio ni kirimino, Si hio ni kirimino

Yo ni kirimino
Donne yeng na maveng El matador
Nina Mali toka Kenya hadi Mexico
Ka ni mchezo mi napenda El classico
Kan ni pongi naiendesha kama Bicyco
Ka ni simu mi nabonga kwa materminal
Na kwa meza nawameza kama ANIMAL
Wakilia nawatibu kama  Panadol
Zikizidi naongeza Parasitamol
Ka umesota na umedunga
We ni kirimino
Ka unasponyo unaishi githo
We ni kirimino
Una haga na  hauna sura
We ni kirimino Aiiiie !!!!
Si hio ni kirimino, Si hio ni kirimino
Si hio ni kirimino, Si hio ni kirimino
Si hio ni kirimino, Si hio ni kirimino

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Kirimino (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

NELLY THE GOON

Kenya

Nelly The Goon a member of Ochungulo Family is a Gengeton/Gengetone artist from Kenya  ...

YOU MAY ALSO LIKE