Bandana ya Esir Lyrics
Bak bandika, bak bandua
Aste aste ka jegi inamature
Tamu halua kakinipa mi naua
Meza mate au uteme na mapua
Kukuruku amka kumekucha
Boss ni luku na ukatage makucha
Rupurupu kwa wale kuninusha
Goons mandugu manduku kuungusha
Veteve, veteran
Kama veve naveveta
Nina racket ya fendera
Na sisongi na fendera
Hastalavista naendea your sister
Namkutanisha style za Baptista
Na Monalisa ni dem wa Garissa
Nakwata misa niko sa kanisa
Bandana ya Esir, fresh ka Bandana ya Esir
Bandana ya Esir, niko fresh ka Bandana ya Esir
Bandana ya Esir niko fresh ka Bandana ya Esir
Bandana ya Esir eh, fresh ka Bandana ya Esir
Nikiwa high school nilikuwa naitwa Apudo
John Do sa ya physo niko Ludo
Saa moja ni saa ya kupitisha burungo
First body ndo alinifunza makumbo
Nikiwa 16, mfuko gode 16
17 niko matings ndani ya 18
18 nilikuwa nadaisha niko 19
19 kila time ni 4:20
4:20 for 20 years
Na bado nimestand kama cross ya kanisa
Bado fresh kama bandana ya Esir
Wananitambua sihitaji visa
Niko real nimechill sina speedi
Niko zone A bone siko greedi
Motif ebu nijenge
Wajue the real meaning ya Mathenge
Vete veteran
Na wasikudanganye coz I'm still the one
Vete veteran
Na wasikudanganye coz I'm still the one
Bandana ya Esir, fresh ka Bandana ya Esir
Bandana ya Esir, niko fresh ka Bandana ya Esir
Bandana ya Esir, fresh ka Bandana ya Esir
Bandana ya Esir niko fresh ka Bandana ya Esir
Hii ni ya madada kila club wakiruka kama panzi
Lyrics za Habib zawainua kama chupa ya Bacardi
Wachungu ka limau lakini watamu kama sukari
Alhamdullilahi
Hii ni ya madada wenye midomo nyekundu
Kama mabuyu nataka kuwapiga busu
Niwaambie vile nawapenda ni kama nyinyi ni ndugu
Na E-sir alinionya juu ya mamanzi kama nyinyi
Kama hatuna hatuli, ukinipa sishibi
Ninaruka vikingi, ukinipa ulimi
Mi husahau bibi kukupigania sishindwi
Vile mama we huringi ndio nakutaka zaidi
Fresh kama, Bandana ya Esir
Bandana ya Esir, fresh ka Bandana ya Esir
Bandana ya Esir, niko fresh ka Bandana ya Esir
Bandana ya Esir, fresh ka Bandana ya Esir
Bandana ya Esir niko fresh ka Bandana ya Esir
Genge sosi naogopa, genje nikisanif naomoka
Sembe kila siku niko mboka
Wembe ka JJ Okocha
Si ndo wale huvuta tire ndani ya choppa
Si ndo wale huingia piri na mapocha
Si ndo wale tukiomoka huenda ocha
Si ndo wale huficha kidi ndani ya toja
Natesa ka Murage akiwa KEMSA
Nadai dem gaza kama Petra
Mi ni lion nasorora tu mazebra
Nawatibu ka Panadol extra
Haiyaa, Bandana ya Esir
Niko fresh ka Bandana ya Esir
Mko pressed mnang'ang'ania maisha
Ndo maana sikuwangi impressed mkidanganya kwa Insta
Naogopa two things, sauti ya shootings
Ngoko ana moodwings ju they confuse me
Mlinitrendisha kwa Twitter for like 2 weeks
Mi saa hio niko daro nawaandikia my new hit
Mafala kabisa
Nimekam na change kama makanga wa Nissan
Mistari fresh ka, bandana ya Esir
Fresh ka, bandana ya Esir
Bandana ya Esir niko fresh ka Bandana ya Esir
Bandana ya Esir, fresh ka Bandana ya Esir
Bandana ya Esir niko fresh ka Bandana ya Esir
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Bandana ya Esir (Single)
Copyright : (c) 2022
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
NELLY THE GOON
Kenya
Nelly The Goon a member of Ochungulo Family is a Gengeton/Gengetone artist from Kenya  ...
YOU MAY ALSO LIKE