Home Search Countries Albums

Gorokia Lyrics


Ah man ah badmanting
Ashy twende!

Mi ni fiat nilimdinya akakua pedi
Kana nyama akicheka, anakua keki
Bila riz me hutinga na gazeti
Nikusere kusere Serengeti

Ngeus wako namguza sehemu nyeti
Kabla mechi tuseti zi guruneti
Kayeela, kajaba, hamurumeki
Kufa ganzi zawadi ya mkurugenzi

Go go gorokia
Rietete na gorokia
Go go Gorokia
Rietete na gorokia

Gorokia na gorokia
Rietete na gorokia
Gorokia na gorokia
Rietete na gorokia

Nimeficha ndani ya socks
Shada au ngale na nashoot toka
Nje ya box ndani au ndani
Utaslide kwa DM mi maganda
Nitakuja na mashuksha kupandana
Sikusuki number ka manamba
Kuna difference ya durag na bandana

Go go gorokia
Rietete na gorokia
Go go Gorokia
Rietete na gorokia

Gorokia na gorokia
Rietete na gorokia
Gorokia na gorokia
Rietete na gorokia

Ni mashash si manyaru
Mwenye wivu ameze kiwaaru
Raru raru, Nyambura
Popote kunakaa room

Me hucheki mangwati
Mpaka za macartoon
Siogopi kukushow I love you
Tukiwa ndani ya matatu

Vuta nyongi hadi naikula(Sha!)
Kisha na sekete Maimuna(Ma!)
Ingiza polepole my ndula(Ma!)
Daily birthday yangu my cougar(Auuu)

Yangu mpaka ndani ina mfupa
Kunyi haipanui ndo hunuka
Kunatupa jasho kwa hii bukla
Watu wako mchele na mabuglaaa

Go go gorokia
Rietete na gorokia
Go go Gorokia
Rietete na gorokia

Gorokia na gorokia
Rietete na gorokia
Gorokia na gorokia
Rietete na gorokia

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Gorokia (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

NELLY THE GOON

Kenya

Nelly The Goon a member of Ochungulo Family is a Gengeton/Gengetone artist from Kenya  ...

YOU MAY ALSO LIKE