Valentines Anthem (Tukutane Kwa Bar ) Lyrics
Kwa majina ni Iyanii na niko na choir
Inataka sauti ya juu, tukutane kwa bar
Na ndugu zangu je sauti ya katikati
Tukutane bar
February 14, ni siku mbaya
Kama hauna mchumba, ni siku mbaya
Kama hauna
14, ni siku mbaya
Kama hauna mchumba, ni siku mbaya
Kama hauna
Kwa wale hawana wapenzi, tukutane kwa bar
Wale fare zitakulwa, tukutane kwa bar
Wale simu watazimiwa, tukutane kwa bar
Ka uko na madem wawili, utashikwa baba
Hii ni ya wale wote, hawana wapenzi
Siku ni ya kupendana lakini tuko lonely
Lonely lonely, lonely lone lonely
Lonely lonely, lonely lone lonely
Lonely lonely, lonely lone lonely
Lonely lonely, lonely lone lonely
February February ni mwezi mbaya
Kwa wale hawana wachumba ni mbaya
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Valentines Anthem (Tukutane Kwa Bar ) (Single)
Copyright : (c) 2022
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
IYANII
Kenya
Iyanii real name Ian Oure is a Singer, Songwriter, Recording and Performing musician from Nairobi , ...
YOU MAY ALSO LIKE