Home Search Countries Albums

Thanks Lord

NAY WA MITEGO

Thanks Lord Lyrics


Ni kwa neema tuuu
Ni kwa neema tuuu
Ni kwa neema tuuu

Kama moyo ungekuwa na sauti ungesema leo ungesikia
Ilimuamini sifa zote na utukufu nazo mpa toka moyoni
Ulinipa chakula kipindi na njaa
Kutuliza moyo usiwe na tama
Japo shida matatizo viligangamaa
Bado ukanipa nguvu ya kupambana

Thanks Lord (ahu)
Thanks Baba (ahu)
Kwa upendo (ahu)
Kwa mahaba (ahu)
I believe in you (ahu)
Thanks Baba (ahu)
Nothing without you God i pray

Nikitoka ananionesha mwanga (asante Baba)
Eeeh eeeh eeeeh  (asante Baba)
Siwezi kitu bila wee (asante Baba)
Oooh Lord (asante Baba)
Thanks for protecting my family (thank you Lord)
Eeeh eeeh eeeh (thank you Lord)
Kafungua njia (thank you Lord)
Thank you Lord

Ooh Lord
Mungu akulaze pema my brother john mjema
Ulianza kunione mapema
Ukasema nita kuwa noma
Kweli mungu mwema
Japo umeondoka mapema
I wish ungekuwepo ulicho tabiri ungekiona
Japo haikuwa rahisi kusikika,kukubalika nimepigana vita
Haimanishi kwamba ndo nimefika,sijalizika na sijalewa sifa
Nishapigwa kopo kwenye shoo
Nishafukuzwa studio
Wakina hujui kuimba ndo walikuwa wengi johoo
Hakuna aliye niamini sio ndugu sio rafiki
Hata mpenzi niliye muamini naye alini disappoint(ahuu)

Thanks Lord (ahu)
Thanks Baba (ahu)
Kwa upendo (ahu)
Kwa mahaba(ahu)
I believe in you (ahu)
Thanks Baba(ahu)
Nothing without you God i pray

Nikitoka ananionesha mwanga (asante Baba)
Eeeh eeh eeeeh (asante Baba)
Siwezi kitu bila wee (asante Baba)
Oooh Lord (asante Baba)
Thanks for protecting my family (thank you Lord)
Eeeh eeh eeeh (thank you Lord)
Kafungua njia (thank you Lord)
Thank you Lord
Asante Baba, asante Baba, asante Baba, asante Baba
Thank you Lord, Thank you Lord
Thank you Lord, Thank you Lord

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Rais Wa Kitaa (Album)


Copyright : ©2021 Free Nation.All rights reserved.


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

NAY WA MITEGO

Tanzania

Emmanuel Elibariki, popularly known as Nay Wa Mitego, or simply  Mr Nay,  is a Tanzanian r ...

YOU MAY ALSO LIKE