Mazoea Lyrics
(It's S2kizzy Beiby)
Acha nibaki kwako
Furaha yangu we kwako baby yeah
Ukweli uko peke yako
Nimeridhika mi mwenzako baby
Wengine hawana ulicho nacho
Chako changu, changu chako (Changu ni chako)
Kukuacha siwezi bado
Kukuchoka ndo kwanza bado baby
You're my beautifier
Take me higher oh my love
My desire, wangu mwaya
Oh my love
You're my beautifier
Take me higher oh my love
My desire, wangu mwaya
Mazoea yana taabu, mazoea yana taabu
Mazoea yana taabu, mazoea yana taabu
Mazoea yana taabu, mazoea yana taabu
Mazoea yana taabu, mazoea yana taabu
(Aah wee ooh...Aah wee aah)
I wish uelewe
Naposema nimekuza na wewe boo
Mimi sitaki nichelewe
Wanjanja wasinizidi kelele boo
Yote sababu ni wewe
Nafanya kwa ajili yako tu
Sababu ni wewe
Nafanya kwa ajili yako tu
Nisitiri kipenzi nisijeumbuka
Nikisinzia nifunike shuka
Siwezi kuchepuka mi nakuogopa
Yaani kama uji kwako natokota
ou're my beautifier
Take me higher oh my love
My desire, wangu mwaya
Oh my love
You're my beautifier
Take me higher oh my love
My desire, wangu mwaya
Mazoea yana taabu, mazoea yana taabu
Mazoea yana taabu, mazoea yana taabu
Mazoea yana taabu, mazoea yana taabu
Mazoea yana taabu, mazoea yana taabu
(Aah wee ooh...Aah wee aah)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Mazoea (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE