Home Search Countries Albums

Hasira

NAY WA MITEGO Feat. HAMADAI

Hasira Lyrics


Oya oya kumekucha wanangu tupeni shuka
Mkiendelea kulala mtashangaa tumeuzwa
Kitaani hekaheka mambo yamebadilika
Mashoga wanaongezeka vidume tunahisabika
Mwambieni mama kitaani kuna njaa
Vitu vimepanda bei ni balaa
Mfukoni mapochi yamechakaa
Yapo kama mapambo hayana chapaa
Oya wanangu wee (eeeh)
Skuizi wavuta bangi ni wakina dada (weeee)
Oya majita eee (eeeh)
Yani kuna wnaaume nao wanadanga (aaaah)

Ni vipi niketiketi wakati nna miguu ya kusimama (yeeeh)
Ni vipi nicelebrate wakati wanangu kula ya ngama (aheyaa)
Oya tarantatarira tariratarira
Napandwa hasira (hasira hasira)
Tarantatariraa tariratarira
Napandwa hasira (hasira hasira)

Walala hoi tuko macho tunavumilia mateso
Twende tukapambane tusijifungie mageto
Hatuna usiku wala mchana situnapambana
Jipiganie mwenyewe usije mwamini mwana
Ayo niaje makamanda sihatuna lawama
Dawa imewaingia mpaka watoto wa mama
Wanatamani kulia ila tu wanajikaza
Siwanaogopa laana (eeeeh)
Skuizi vijana hawapendi kazi na ndio maana wanakazwa
Tukiombee hichi kizazi kisicho ogopa lana
Ukimuona motto mkali
Ana simu kali
Mtandaoni hatari
Ila pakukaa hana
Ukimuona handsome boy
Ana pamba kali
Humksosi batani
Ila anaishi kwa wana
Oya wanangu weee (eeeh)
Skuizi wavuta bangi ni wakina dada (weeee)
Oya majita eee (eeeh)
Yani kuna wnaaume nao wanadanga (aaaah)

Ni vipi niketiketi wakati nna miguu ya kusimama (yeeeh)
Ni vipi nicelebrate wakati wanangu kula ya ngama (aheyaa)
Oya tarantatarira tariratarira
Napandwa hasira (hasira hasira)
Tarantatariraa tariratarira
Napandwa hasira (hasira hasira)

Oya wanangu weee (eeeh)
Skuizi wavuta bangi ni wakina dada (weeee)
Oya majita eee (eeeh)
Yani kuna wnaaume nao wanadanga (aaaah)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Hasira (Single)


Copyright : ©2021 Free Nation.All rights reserved.


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

NAY WA MITEGO

Tanzania

Emmanuel Elibariki, popularly known as Nay Wa Mitego, or simply  Mr Nay,  is a Tanzanian r ...

YOU MAY ALSO LIKE