Nenda Baba ( Magufuli ) Lyrics

Ni bora iwe dunia imeisha
Nawe umetangulia
Kesho watanzania tutafatia kwa nyuma
Haya mambo yanasikitisha, moyo unakwangua
Maumivu makali makali
Yaani leo hii baba mtetezi
Magufuli hayupo
Masikini wanyonge walala hoi
Jembe letu halipo
Ohh baba si ungetupa siri
Kama unaondoka
Sisemi sana, inaniumizaa
Nenda baba, doctor
Nenda baba, Magufuli
Nenda baba, wanao tutakukumbuka
Nenda baba, ulitutetea
Nenda baba, ukatuvusha
Nenda baba, dunia itakukumbuka
Ni heri kupotesa pesa
Unaweza jipa moyo utazipata
Kuliko uhai, utabaki umia roho
Yaani leo hii baba mtetezi
Magufuli hayupo
Masikini wanyonge walala hoi
Jembe letu halipo
Ohh baba si ungetupa siri
Kama unaondoka
Sisemi sana, inaniumizaa
Nenda baba, doctor
Nenda baba, Magufuli
Nenda baba, wanao tutakukumbuka
Nenda baba, ulitutetea
Nenda baba, ukatuvusha
Nenda baba, dunia itakukumbuka
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Nenda Baba ( Magufuli ) (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE