Home Search Countries Albums

Bampa 2 Bampa

NAVY KENZO Feat. NANDY

Read en Translation

Bampa 2 Bampa Lyrics


Upendo usitie vigingi
Kitandani mwendo wa bakora
Kichwani ibaki vumbi
Meno kusaga mkongora

Navyoliseti loketi
Latema sumu ka dondora
Maji kulowesha nyeti
Kifo cha mende kuchochora

Marafiki wa shuka
Ni kitanda na godoro
Ofisi yake mifupa
Sio supu ya kongoro

Au kisa ufundi maujuzi
Ndio unifanye vibaya
Nivike sura ya mbuzi
Nikufichie mabaya

We are bampa 2 bampa
Me and you we are bampa 2 bampa
Penzi lako bampa 2 bampa
Linanoga bampa 2 bampa

Go down mie bampa 2 bampa
Me and you we are bampa 2 bampa
Penzi lako bampa 2 bampa
Linanoga bampa 2 bampa

Eeh nimekuwa chizi 
(Eeh nimekuwa chizi)
Majinuno kilaza na sijiwezi
(Mi kilaza na sijiwezi)

Majuto ni mjukuu
Naridhika na wewe tu
Kukuacha sidhubutu
Usiniache weee

Tujinafasi kibamba taa (Uwiii uwii)
Nitakuja kujuta ukinikataa (Uwiii uwii)
Tujinafasi kibamba taa (Uwiii uwii)
Nitakuja kujuta ukinikataa (Uwiii uwii)

We are bampa 2 bampa
Me and you we are bampa 2 bampa
Penzi lako bampa 2 bampa
Linanoga bampa 2 bampa

Go down mie bampa 2 bampa
Me and you we are bampa 2 bampa
Penzi lako bampa 2 bampa
Linanoga bampa 2 bampa

Bampa bampa
The man is a hunter
Nampa nampa
Chochote anataka

Nipe tepe tepe mi nilowe
Kisu chako nikinowe
Umenishika kwenye roho wee
Eeey...

Marafiki wa shuka
Ni kitanda na godoro
Ofisi yake mifupa
Sio supu ya kongoro

Au kisa ufundi maujuzi
Ndio unifanye vibaya
Nivike sura ya mbuzi
Nikufichie mabaya

We are bampa 2 bampa
Me and you we are bampa 2 bampa
Penzi lako bampa 2 bampa
Linanoga bampa 2 bampa

Go down mie bampa 2 bampa
Me and you we are bampa 2 bampa
Penzi lako bampa 2 bampa
Linanoga bampa 2 bampa

Tujinafasi kibamba taa 
Nitakuja kujuta ukinikataa
Tujinafasi kibamba taa

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Story of The African Mob (Album)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

NAVY KENZO

Tanzania

Navy Kenzo is a music group from Tanzanian made up of female singer Aika and male rapper Nahreel (re ...

YOU MAY ALSO LIKE