Salio Lyrics

Sina salio baby mama
Ningekupigia tuonane
Kwahiyo likizama
Naomba tukutane palepale
Sina salio baby mama
Ningekupigia tuonane
Kwahiyo likizama
Naomba tukutane palepale
Baby baby
Leo nimekwama kiukweli
Meseji meseji yoo
Unazonitumia sizipendi
Hizi mbio zote muuni nazo kimbia girl
Is just for you
Sielewi vitu gani unavyo fikiriaga
Inside of you
Mawazo yako niko full dola
Nawapigia tuu wachumba
Kumbe fuko lime dorola
Mi nasaga tuu na rumba
Kati ya wote baby we ndio bora
Mbona roho inadunda
Kwangu wewe ni sumaku
Mimi ndio chuma ah
Sina salio baby mama
Ningekupigia tuonane
Kwahiyo likizama
Naomba tukutane palepale
Sina salio baby mama
Ningekupigia tuonane
Kwahiyo likizama
Naomba tukutane palepale
Baby...
Tukutane tuyajenge
Tusiachane kizembe
Nitaku missed call
Wacha mida iende
Jioni flani njoo tutete
Wacha hao vijino pembe
Fanya yako jichenge
Sikubali mi kukuacha mpweke
Wacha nije udeke
Mbio zote muuni nazo kimbia girl
Is just for you
Sielewi vitu gani unavyo fikiriaga
Inside of you
Mawazo yako niko full dola
Nawapigia tuu wachumba
Kumbe fuko lime dorola
Mi nasaga tuu na rumba
Kati ya wote baby we ndio bora
Mbona roho inadunda
Kwangu wewe ni sumaku
Mimi ndio chuma ah
Sina salio baby mama
Ningekupigia tuonane
Kwahiyo likizama
Naomba tukutane palepale
Sina salio baby mama
Ningekupigia tuonane
Kwahiyo likizama
Naomba tukutane palepale
Baby...
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Addicted (EP)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
IBRAH NATION
Tanzania
Ibrah Nation is a recording artist, song writer and composer from Tanzania. ...
YOU MAY ALSO LIKE