Home Search Countries Albums

Story Lyrics


Story yah
Story yah
Story ya life yah
Ni story story yah
Story ya life yah
Story story yah
Story ya life yah

Subra subra ya vuta kheri
True love true love maisha safari
Moyo wangu tulia usitamani vya watu
Eh mungu nipe subira mpaka ifike zamu yangu
Japo napitia msoto
Bado naamini nitapa kesho
Uwende ikawa spesho
Nitapata vifuta jasho
Nakuipata pepo
Duniani ni changamoto

Yaaah
Story yah
Story ya life yah
Ni story story yah
Story ya life yah
Story story yah
Story ya life yah
Yaaah
Story yah
Story ya life yah

Namuamini mungu najawa naimani yeh
Shetani ashindwe ee
Hiki kijipu uchungu  mapema nikitumbue
Nawapenda ila naogopa ngoma
Yoo singida dodoma
Napambana ugali usije goma
Visenti vya maindi ya kuchoma
Kualala njaa nishazoea
Bado namini nitatoboa
Biashara ni ya kharanga
Na naishi nyumba ya kupanga
Nakukata tamaa haija tokea
Muda ukifika mtanisifia
Never never never never
Keep fight don’t lose hope
Wake up wake up wake up wake up
Don’t be lazy be shape
Moyo wangu tulia usitamani vya watu
Ee mungu nipe subira mpaka ifike zamu yangu
Japo napitia msoto
Bado naamini nitapa kesho
Uwende ikawa spesho
Nitapata vifuta jasho
Nakuipata pepo
Duniani ni changamoto

Yaaah
Story yah
Story ya life yah
Ni story story yah
Story ya life yah
Story story yah
Story ya life yah
Yaaah
Story yah
Story ya life yah

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Rais Wa Kitaa (Album)


Copyright : ©2021 Free Nation.All rights reserved.


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

NAY WA MITEGO

Tanzania

Emmanuel Elibariki, popularly known as Nay Wa Mitego, or simply  Mr Nay,  is a Tanzanian r ...

YOU MAY ALSO LIKE