Home Search Countries Albums

Hainistui

HARMONIZE

Hainistui Lyrics


Yao yao, hahaha Jeshi
(Young legendary)
Yii Kondeboy

Eeh! Hainistui!
Hainistui!
Hainistui!
Hapa nilipo kesho yangu sijui

Konde wenzako watakuroga(Hainishtui)
Au na wewe ushaogaa(Hainishtui)
Maana hunaga uoga(Hainishtui)
Hapa nilipo kesho yangu sijui

Eeeh leo nimepata kesho nimekosa
Kazi ya Mola haina makosa
Huyu kampa boda mwingine verosa
Vuta subira ngoja Mungu ajakutosa

Majungu na fitina naaa naa
Zigeuze changamotoo
Maneno muachie Amina naaa naa
Dawa ya moto ni motoo

(Oooh nananaaaah)

Wapo walosema Konde atapotea
Konde atapotea
Ndege katia gia chombo iyo inapepea
Chombo inapepea

Mi ninakula kwa jasho ooh-ooh
Nipatacho naridhika
Ninasubiri kesho ooh-ooh
Zamu yangu itafika

Nenda waambie, kwamba

Eeh! Hainistui!
Hainistui!
Hainistui!
Hapa nilipo kesho yangu sijui

Ah wenzako wanakuchukia(Hainistui!)
Tena wamepanga kukubania(Hainistui!)
Isitoshe wao ni matajiri(Hainistui!)
Usijali we tumia tu akili(Hainistui!)

Hapa nilipo kesho yangu sijui

Yii! Sinaga sifa za kujisifu najua
Kila kukicha kwa Mungu naomba dua
Hustle nazidisha ili nizidi tusua
Wakinifunika kesho nitawafunua

Tena waambie eeh eeeh

Mchanga hauzikwi 
Unaubadilisha makazi
Huwezi ziba riziki
Bure utajipa kazii

Mi niinakula kwa jasho ooh-ooh
Nipatacho naridhika
Ninasubiri kesho ooh-ooh
Zamu yangu itafika

Nenda waambie, kwamba

Eeh! Hainistui!
Hainistui!
Hainistui!
Hapa nilipo kesho yangu sijui

Mwana anakula tungi mbayaa(Hainishtui)
Yule dada anadanga, malaya(Hainishtui)
Ataishi pabaya(Hainishtui)
Hapa nilipo kesho yangu sijui

Ina-ina-inaa...
(The mix killer)
Inauma ila itabidi wazoee
Inauma ila itabidi wazoee

Wakimuona dodo na chopa
Inauma ila itabidi wazoee
Eeeh siku izi KondeGang wanatuogopa
Inauma ila itabidi wazoee

Oooh my God its Better Sound
Hunter, hahahaha...
Kwako mwalimu kashasha...

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Hainistui (Single)


Copyright : ©2020 Konde Gang


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

HARMONIZE

Tanzania

Harmonize, born Rajab Abdul Kahali on 3 October 1991 in Mtwara, Tanzania, is a Tanzanian singer ...

YOU MAY ALSO LIKE