Home Search Countries Albums

Mawazo Yangu

NEDY MUSIC Feat. MEJA KUNTA

Mawazo Yangu Lyrics


Haya mawazo yangu, haya mawazo yangu
Haya mawazo yangu, haya mawazo yangu
Dunga sasa, twende sasa
Aiiiiiiih...

Chapa,chap,chapa,chapa,chapa aah!
Wee mwana, weeh! mwana, weeh! mwana weeh!
Fifty na 2pac Jayz ndugu zetu
Kipindi cha utumwa zilitekwa mbegu zetu

Kucopy copy walianzaga wenzetu
Tukicopy sisi inakuja kula kwetu
Mi nakumbuka babu katunga marimba
Wageni wamekuja  wamecopy ndo kinanda

Wagogo wa Dodoma wametengeneza zeze
Wageni ni noma gitaa wamecopy zeze

Mwanzo sio zama za leo, mke wa mtu sumu
Kaka mkanye mkeo ooh! ndoa yako idumu
Haya mawazo yangu,Haya mawazo yangu
Haya mawazo yangu,Haya mawazo yangu

Aah! aanh! aaaah!

Mi nakumbuka hata Mama aliongea 
Tamaduni zetu zitapotea
Vijana wa sasa waliongea
Baba na mwana wana share

Zamani tulikuwa na mziki wetu unaitwa singeli
Sasa hivi vijana wanajisahau singeli mdumange
Zamani tulikuwa na mziki wetu unaitwa singeli
Sasa hivi vijana wanajisahau singeli mdumange
Mwanzo sio zama za leo, mke wa mtu sumu
Kaka mkanye mkeo ndoa yako idumu

Ooh! jamani wee dada unacheza chura
Sogea mbele kidogo 
Cheza kidogo nasikia raha
Ooh! jamani wee dada unacheza chura 
Sogea mbele kidogo 
Cheza  kidogo nasikia raha

Nikushike wapi (Hapa) Wapi? (Hapa) 
Wapi (Hapa) Wapi (Hapa)
Wanangu ni wapi (Hapa)
Wapi (Hapa) Wapi (Hapa) Wapi (Hapa)
Machizi ni wapi? (Hapa)
Wapi (Hapa) Wapi (Hapa) 
Wapi ( Hapa ) Wapi? (Hapa)

Haya mawazo yangu (Mawazo yangu)
Haya mawazo yangu (Mawazo yangu Mama)
Haya mawazo yangu (Mawazo,mawazo ooh!)
Haya mawazo yangu ( ah! aah! aah! )
Yananinyima furaha

Chezeni wanenu niachie mwanangu
Tajiri ni wenu fukara ni wangu
Namcheza mwanangu leo (Man Kide)
Namcheza mwanangu leo

Namtunza mwanangu leo, namcheza mwanangu leo
Za kichina china,za kichina china (Hunha aah!)
Za kichina china,za kichina china (Hunha aah!)
Za kichina china,za kichina china (Hunha aah! )
Za kichina china, za kichina china

Ooh! jamani wee dada unacheza chura
Sogea mbele kidogo 
Cheza kidogo nasikia raha
Ooh! jamani wee dada unacheza chura 
Sogea mbele kidogo 
Cheza  kidogo nasikia raha

Nikushike wapi (Hapa) Wapi? (Hapa) 
Wapi (Hapa) Wapi (Hapa)
Wanangu ni wapi (Hapa)
Wapi (Hapa) Wapi (Hapa) Wapi (Hapa)
Machizi ni wapi? (Hapa)
Wapi (Hapa) Wapi (Hapa) 
Wapi (Hapa) Wapi? (Hapa)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Mawazo Yangu (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

NEDY MUSIC

Tanzania

Nedy Music is a recording artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE