Home Search Countries Albums

Chizi

NANA

Chizi Lyrics

Mara kwa mara najikazia ah
Nimekupatia
Moyo wangu wewe nakulindia ah
Nafurahia 

Nini ulichonipa wewe
Ukikosea maneno matamu nakurudia ah
Bila kufikiria

I see you now I don't 
It's like a game of cut and nerves
Mchezo wa pata potea sitaki mimi

Nimezama ndani ya penzi lako baby
Sielewi mbona wanitenda hivi kweli
Nashangaa kipi cha kutatanisha hivi

Umenifanya nakuwa chizi, chizi
Umenifanya nakuwa chizi, chizi
Umenifanya nakuwa chizi

Mara kadhaa umeniumiza aah
Nimekusamehe
Nadhani umebadili unanichezea aah

Nawaza nini ulichonipa wewe
Ukikosea maneno matamu nakurudia ah
Bila kufikiria

I see you now I don't 
It's like a game of cut and nerves
Mchezo wa pata potea sitaki mimi

Nimezama ndani ya penzi lako baby
Sielewi mbona wanitenda hivi kweli
Nashangaa kipi cha kutatanisha hivi

Umenifanya nakuwa chizi, chizi
Umenifanya nakuwa chizi, chizi
Umenifanya nakuwa chizi

You always know the right things to say
And the right things to do
Don't want to - chocolates baby boo
Nakutaka tu
I don't know where this is heading to
But I'm so in love with you

Nimezama ndani ya penzi lako baby
Sielewi mbona wanitenda hivi kweli
Nashangaa kipi cha kutatanisha hivi

Umenifanya nakuwa chizi, chizi
Umenifanya nakuwa chizi, chizi
Umenifanya nakuwa chizi

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Chizi (EP)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

NANA

Kenya

Nana The Melanin Queen  is an artist/performer from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE