Home Search Countries Albums

Mangwariti

34 GVNG Feat. MBOGI GENJE

Mangwariti Lyrics


Smady, Mbogi ni Genje
(Hitman ting, hitman ting)
(Badman ting, badman ting)
Along time inna body know

Yoh Ghetto arena ndo tuwashe mangwariti
Pale zabe tumebonda na matiki
Ghetto arena ndo tuwashe mangwariti
Pale zabe tumebonda na matiki

Mangwariti na matiki
Pale zabe tumebonda na matiki
Mangwariti na matiki
Pale zabe tumebonda na matiki

Tunaruna hii mchezo kwa hii maisaa
Topscorer nani uliza Aisha
Sijawai kula kiti Mysa
Smady what do you tell your haters?

Ati kutudiss labda uko na kichai
Hii ni daro buda na mi ndo ticha
Mi humada vitu nimeanzisha
Mi husaka shuksha panboy isaa

Yoh Ghetto arena ndo tuwashe mangwariti
Pale zabe tumebonda na matiki
Ghetto arena ndo tuwashe mangwariti
Pale zabe tumebonda na matiki

Mangwariti na matiki
Pale zabe tumebonda na matiki
Mangwariti na matiki
Pale zabe tumebonda na matiki

Pale baze ni matiki si ma Fila
Mbota nimedunga inasoma na majira
Taxin imefura ni ya njugu si ya gum
Moshi tu kwa kona hadi unagwaya tu kukam

34 na Mbogi Genje hii ni ya mabazu
Hii ni ya wagaza wanasunda hadi matambu
Toka Doni kuwabeba hadi Jamu
Ngumi mbwegze nikileft jo nikiround

Yoh Ghetto arena ndo tuwashe mangwariti
Pale zabe tumebonda na matiki
Ghetto arena ndo tuwashe mangwariti
Pale zabe tumebonda na matiki

Mangwariti na matiki
Pale zabe tumebonda na matiki
Mangwariti na matiki
Pale zabe tumebonda na matiki

Zimeshika on the low niko hike
Looku diriba nimepandisia Nike
Hii Nairobi hakuna orosho sijai ona
Best believe manzi akinicross nitamshona

Na pale streets hawa mahater wanabonga
Ati Hitman Ting hizo mistari we huchora
Aha buda huzitoa kwa blackberry
Who want the smoke anybody can gerrit

[Guzman]
Seti wariti moja riet
Na hio chain ikam tupande lift
Kuwatuma cementary ju ni yard
Ukileta za kumea na go hard

Usidiss Eastlando huku still ndo vako
Na maruap kwa mongo
Si za ng'at majongo 
Ni talanta kuchomo
Ukiyoyoma wasongo
Toa uchino ukitumess ni matiki

Yoh Ghetto arena ndo tuwashe mangwariti
Pale zabe tumebonda na matiki
Ghetto arena ndo tuwashe mangwariti
Pale zabe tumebonda na matiki

Mangwariti na matiki
Pale zabe tumebonda na matiki
Mangwariti na matiki
Pale zabe tumebonda na matiki

Ndula wakidigi ni matiki
Ngwariti mi huseti kila wiki
Mbleina ni mrazi namchai
Keki kameweza namdai

Empress anapenda vako zangu
Anadai tu kufika kwa mamangu
Na unajua hizo si vako zangu
Umahuru ndo nimejaza kwenye damu

Yoh Ghetto arena ndo tuwashe mangwariti
Pale zabe tumebonda na matiki
Ghetto arena ndo tuwashe mangwariti
Pale zabe tumebonda na matiki

Mangwariti na matiki
Pale zabe tumebonda na matiki
Mangwariti na matiki
Pale zabe tumebonda na matiki

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Mangwariti (Single)


Copyright : (c) 2020 Bridge Records.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

34 GVNG

Kenya

African Music Crew 34 GVNG (Good Vibes No Gangs) is a music crew based in Kenya made up of artists s ...

YOU MAY ALSO LIKE