Home Search Countries Albums

No Lyrics


Ukitajwa utaitika kwa courtko
Hearing ya 4th bro inasemekana ulipiga koto
Suicider aliruka kwa 4th floor
Hakudedi alisurvive raiyaa ikampiga mangoto

Uliingiana kwa mbosho No
Naskia unamekuanga msoto No
Iyo ni moshi ya local No
Shh shh puff moja No 

Uliingiana kwa mbosho No
Naskia unamekuanga msoto No
Iyo ni moshi ya local No
Shh shh puff moja No 

Front row kwa riot walidedi ata before revolution ianze
Some days to ballot naona MCA ndio amekuja kuresume kazi
First time in public na amekuja kuwa crush ka kamikaze
Ka huezi Drill jipange na ka unaona unaeza ni reach kajikaze

Tuko na ma afande hii pande wanangoja kupata order from sergeant 
Gava haiezi gawa mkate ka uko lucky watakuachia ma bakshish
Sai tuko ma mzinga ma barley nikiongeza apo ganja kalale
Mavete walizima apo ngware after niwachome moshi za foreign 

Back then tukianzanga hii mziki.. Ilikua tu DC na Sisi
Bah deen tunamanga na siblings ile yenye ulikamilisha kamili
Mtoto amekua mtoro umoroto naskia ameanza kupandisha kamisi
Maisha ya mpini ye ubidi tukiwa msoto avoid tu polisi

Ukitajwa utaitika kwa courtko
Hearing ya 4th bro inasemekana ulipiga koto
Suicider aliruka kwa 4th floor
Hakudedi alisurvive raiyaa ikampiga mangoto

Uliingiana kwa mbosho No
Naskia unamekuanga msoto No
Iyo ni moshi ya local No
Shh shh puff moja No 

Uliingiana kwa mbosho No
Naskia unamekuanga msoto No
Iyo ni moshi ya local No
Shh shh puff moja No  

Rule ya ma stoner, moja, the roller lazma apate the honors 
Hauezi kam kuchoma ngoja na iyo kiherehere we ni joker smoker tellem
Tuko matembe tuna pepea mbele kama Johnny za mbeere eeh
Uspende bwerere fika ma ibe usiseme uliuziwa mkebe

Ndani ya moshogi na ki mothongi tuambie utatoa ma utoi??!! 
Courtesy ile design after kukuibia tunakuambia sorry
Karatasi ikihide tunaingia Maili kuwashika bei ya jioni
Tortoise ana walk tu slowly bila pressure ni ka ako ma codeine 

Bording si uingia na irori tunakuja na hasira zote ploti
Kuwa burn siku ya 40 naskia kuna ngati ali peremba mbogi
Missionaries walituona ma doggy, wengine walituona ma todhi
Walienda kwa mrogi kushika ma Gondi
Next thing unaskia kwa Courti

Ukitajwa utaitika kwa courtko
Hearing ya 4th bro inasemekana ulipiga koto
Suicider aliruka kwa 4th floor
Hakudedi alisurvive raiyaa ikampiga mangoto

Uliingiana kwa mbosho No
Naskia unamekuanga msoto No
Iyo ni moshi ya local No
Shh shh puff moja No 

Uliingiana kwa mbosho No
Naskia unamekuanga msoto No
Iyo ni moshi ya local No
Shh shh puff moja No 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : No (Single)


Copyright : (c) 2021 Rong Rende


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

SEWER SYDAA

Kenya

SywerSydaa aka Man a Driller is an artist/ driller/ DOP/Editor from Kenya, a member of Wakadinali. S ...

YOU MAY ALSO LIKE