Home Search Countries Albums

Moyo Lyrics


Tulia ewe moyo tulia
Tulia umepata kipenzi tulia
Tulia ewe moyo tulia
Tulia umepata kipenzi tulia

Nilianza na kuamini rafiki
Kwamba ye ndo wa moyo wangu
Kwenye shida na raha
Nitakuwa naye kama chanda na pete

Nilipopata matatizo
Alienda mteja 
Yaani mpaka wa leo
Sijawai kumuona mimi

Na nikasema ni trace kipenzi changu
Maana ye ndo wangu wa moyo
Dunia ina mambo, dunia ina mambo
Dunia ina mambo ooh

Oooh nilibaki nalia aah 
Nilibaki nalia 
Oooh nilibaki nalia aah 
Mola wangu aah aah

Oooh waliniacha nalia, aah aah
Si waliniacha nalia
Wale waliniacha nalia jamani
Aah aaah

Oh basi moyo moyo

Tulia ewe moyo tulia
Tulia umepata kipenzi tulia
Tulia ewe moyo tulia
Tulia umepata kipenzi tulia

Oooh Yesu hazimi simu 
Tulia ewe moyo tulia
Hawezi enda mteja
Yuko na mimi siku zote 
Tulia umepata kipenzi tulia
Basi moyo!

Nilipogundua Yesu ni mponyaji
Sitishiki na magonjwa tena
Nilipojua ye ni mganga wa waganga
Siogopi wachawi kabisa

Maana macho yangu yanalia si kwa uchungu
Eeh yanalia kwa upendo
Upendo wa msalabani ulionipea mimi

Na nikasema ni trace kipenzi changu
Maana ye ndo wangu wa moyo
Dunia ina mambo, dunia ina mambo
Dunia ina mambo ooh

Oooh nilibaki nalia aah 
Nilibaki nalia 
Oooh nilibaki nalia aah 
Mola wangu aah aah

Oooh waliniacha nalia, aah aah
Si waliniacha nalia
Wale waliniacha nalia jamani
Aah aaah

Oh basi moyo moyo

Tulia ewe moyo tulia
Tulia umepata kipenzi tulia
Tulia ewe moyo tulia
Tulia umepata kipenzi tulia

Oooh Yesu hazimi simu 
Tulia ewe moyo tulia
Hawezi enda mteja
Yuko na mimi siku zote 
Tulia umepata kipenzi tulia

Moyo umepata kipenzi wa dhati
Umepata kipenzi cha roho
Umempata akufaaye

Tulia ewe moyo tulia
Tulia umepata kipenzi tulia
Tulia ewe moyo tulia
Tulia umepata kipenzi tulia

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Moyo (Single)


Copyright : (c) 2020 Safri Records.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

DAR MJOMBA

Kenya

Dar Mjomba is an artist from Kenya, signed under Safri Records. ...

YOU MAY ALSO LIKE