Home Search Countries Albums

Feelanga Free

FEMI ONE Feat. ZAKAH

Feelanga Free Lyrics


Me and my cousin
Zakah mwenye Gees
Nimerudi kwa kazi 
Uuuh yeah, uuu
Uuuh yeah, uuu

Feelanga free, feelanga fresh
Kwa hawa madem I am the best
Na hawa maboy pia nawastress
Feelanga free, feelanga fresh

Feelanga free, feelanga fresh
Kwa hawa madem I am the best
Na hawa maboy pia nawastress
Feelanga free, feelanga fresh

Masela nafunza my people
Mawera naingiza malipo
Nakera malooser na hii flow
Mahater mnacheza na kifo

Mavela navuta na kiko
Maflavor napika na jiko
Cholera naunda na symptoms
Hongera mi buda wa hiphop

Kwa jela nakuja na freedom
Danger umekutwa na dingo
Kinena nasunda ma weapon
Mbleina punguza maringo

Ndeng'a ni chuma kwa shingo
Hema umetema ka figo
Natema miujiza ya Kristo
Hwema imegeuka tatizo

Graphitti ni mimi kwa track
Mabinti naamini kwa club
Mafisi waziri kwa works
Kasisi na injili kwa church
Gaidi jangili na guns
Maskini tajiri na grudge
Shahidi wakili na judge
Wakidi wa mjini na njaa njaa

Feelanga free, feelanga fresh
Kwa hawa madem I am the best
Na hawa maboy pia nawastress
Feelanga free, feelanga fresh

Feelanga free, feelanga fresh
Kwa hawa madem I am the best
Na hawa maboy pia nawastress
Feelanga free, feelanga fresh

Niliprove naweza swim deep end
Move ka bigfish kwa ocean
Na bikini ya DOlce
Show up kwa scene na porsche
Ngoja pace ya life show ijipe
Homeboy look fly weekend
Nakatwa kama ticket

We hutokwa kama reject
Tips kwa nini nisikupe
First of all usiwe kupe
Hata ka you the cutest
Usiitishe pesa ya cutex 
Dress wacha iwe fupi
Designer bra na chupi
Nyepesi na ka uzi si lazma pesa stupid

Isifike size ya ngori
Shakilla live ya Tori
Keep it classy si hatuworry
Cloutchase kwa Insta story
Dera bila kitu ndani
Fanya kitu hakudhani
Mfikishe Mombasani 
Nimekuwa Bi. Mswafiri

Feelanga free, feelanga fresh
Kwa hawa madem I am the best
Na hawa maboy pia nawastress
Feelanga free, feelanga fresh

Feelanga free, feelanga fresh
Kwa hawa madem I am the best
Na hawa maboy pia nawastress
Feelanga free, feelanga fresh

Omba Sir God nikuache na peace
Naroga warogi waaibike kabisa
Nyonga matothi waalike mazishi
Mboka ni ngori waskize maandishi
Shoka shingoni wachinje na beats
Nimetoka Migori niskike Eldy

Dr King'ori na Weekend Edition
Reporter na stori za vile naishi
Shang'ala bangala songa na hii
Naacha na busara ni Blomazivil
Pata hasara ukibonga na beef
Namwaga madhara unakonda TB
Mambo ya mafala na ngoma za D
Wakamba wahala Bungoma Kisii
Namanga Kampala na border TZ
Namurder Mcees

Feelanga free, feelanga fresh
Sinanga ID na care less less
Sinanga Pin ya KRA 
Ita police wani arrest rest

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Greatness (Album)


Copyright : (c) 2021 Kaka Empire.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

FEMI ONE

Kenya

Shiko Femi One real name Wanjiku Kimani (born 25th April, 1994) is a performing and r ...

YOU MAY ALSO LIKE