Home Search Countries Albums

Wachawi Toka

NACHA

Wachawi Toka Lyrics


Nyasubi ndani ya mbanyu
Wachawi  wachawi toka
Wachawi  wachawi toka

Eh nawakemea kama pepo
Nimenunua kasabufa kangu ghetto
Mnaanza kuumwa na karoho eh
Wachawi toka
Ushauri nakubali (wachawi)
Kuwa ngoma ni hatari (wachawi)
Kufananisha bei ya bia tofali
Sikubali wachawi (Wachawi toka)
Mawaidha bar na motorcar nalala bar
Mara demu wako nacha hata hakufai (Wachawi toka)
Wachawi eh hata kama bwana unanidai
Ila kudhalilishana haifai
Kwa watu unanitoaga nishai
Ilimradi nionekane tu sifai

Wacha,wachawi Wachawi toka
Wachawi Wachawi toka
Wachawi Wachawi toka
Wachawi Wachawi toka

Ushindwe na ulegee body
Kuhonga pesa ya kodi
Unaazima uonekane tozi
Mwanaume kujichubua ngozi
Unaachia hewa mbaya kwenye daladala  (wachawi )
Kugongea bia bar huo ni ufala  (wachawi )
Imani za kishirikina kutoa kafala
Washikaji hasara  (Wachawi toka )
Nanunua mpaka condom kwa duka
Ukishapanda kwa bed unaitupa (  wacha )
Halafu huna ndoto za kuzaa (  wacha )
Chunga sana kuna moto utakufa (Wachawi toka)
Hata kama bwana unandidai
Ila kudhalilishana haifai
Kwa watu unanitoaga nishai
Ilimradi nionekane tu sifai

Wacha,wachawi Wachawi toka
Wachawi Wachawi toka
Wachawi Wachawi toka
Wachawi Wachawi toka

Kemea kama umechoka mapepo
Vua shati ama zungusha leso
Kemea kama umechoka mapepo
Wachawi tunawakazia mwanzo mvisho
Hey ! Chidmentary kema pepo
We litonzo wee kemea pepo
Manger sefu kema pepo
Gentana kemea prpo
Zuri store wewe kemea pepo
Kiri record krmea peopo
Mpaka ,yassuni fc kemea peope
Kemea kemea pepo
Mwanjerwa kemea pepo
Nanjilinji kemea pepo
Tandahinba kemea pepo
Kibaigwa kemea pepo
Nyegezi kzmea pepo
Nyihogo kemea pepo
Mwananyammmara kemea pepo
R chuga,msamvu kemea pepo

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Wachawi Toka (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

NACHA

Tanzania

Nacha Ousam is a musician from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE