Home Search Countries Albums

Kongoro

QBOY MSAFI

Kongoro Lyrics


Nibebee kwa mgongo gongo
Nipeleke Mombasa Congo
Kwa mauno ya paka chongo
Jikunje samaki kamongo

Zungusha panga boy mpaka ndani inazama
Kunjuka jikunje nipige danadana
Chama la wana limekuchagua we ndo mama
Tunda damu utamu wako unanipa lawama

Kama burger kama pizaa 
Nakagongea na viza
Chonga kametumbukiza
Kule mwanga huku giza

Ananivutia mwendo 
Nimenogewa na kachumbari
Mingi mitego yaani sebuleni 
Mpaka chumbani

Yaani ko ko ko kongoro
Twende ko ko ko kongoro
Nyuma ko ko ko kongoro
Supu ko ko ko kongoro

Ana asili ya kitanga huyo
Akijifunga moja kanga huyo
Na nywele zake za kimanga huyo
Anavolisakata vanga uyo

Kama burger kama pizaa 
Nakagongea na viza
Chonga kametumbukiza
Kule mwanga huku giza

Ananivutia mwendo 
Nimenogewa na kachumbari
Mingi mitego yaani sebuleni 
Mpaka chumbani

Yaani ko ko ko kongoro
Twende ko ko ko kongoro
Nyuma ko ko ko kongoro
Supu ko ko ko kongoro

Ana asili ya kitanga huyo
Akijifunga moja kanga huyo
Na nywele zake za kimanga huyo
Anavolisakata vanga uyo

Yaani ko ko ko kongoro
Twende ko ko ko kongoro
Nyuma ko ko ko kongoro
Supu ko ko ko kongoro

Mama weee, mama wee
Mama weee, mama wee
Manyama masupu masupu tu

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Kongoro


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

QBOY MSAFI

Tanzania

Qboy Msafi is an artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE