Pombe Lyrics
Hivi nyie mnalewa kweli?
(Kitonzo)
Nashangaa watu siku hizi mmekuwa waoga
Hamtaki kunywa pombe eti nyumbani hakuna mboga
Mimi nakula hela kutokana na pombe zangu
Mimi nakunywa pombe kutokana na hela zangu
We - monde, dada unasinzia?
Piga tarumbeta kata kiu nitalipia
Na nusu ng'ombe ugali lumagia
Maisha ni mafupi usijali kula bia
Na ikibidi bidi yaani nakula mwenyewe
Nitalewa mwenyewe wala sitaki niombewe
Hamnitishi tishi nitajenga mwenyewe
Nitapanga mwenyewe na nitakufa mwenyewe
Mnaonifualitia mtabaki duwaa
Mtabaki kunisema wala sijali hasara
Hela zangu sasa mbona mna wakala
Hakuna mpenzi mtamu kama pombe mwaaah
Ah mwajua mwakera kweli
Hivi, nyie mwalewa kweli?
Kutwa kunisema niacheni
Nikifa nitazikwa na pombe bwana
Ah si maisha yangu
Niacheni pombe zangu
Wanga mnakata tu simu
Mnapenda kuchonga ebu tokeni hapa
Nashangaa watu mbona mnapenda kuchonga
Pombe nakunywa mimi sichongi mkihonga
Mimi nakunywa hela kutokana na pombe zangu
Mimi nakunywa hela kutokana na pombe zangu
Yaani mtoto ada, atalipa mwenyewe
Kwani nasoma mimi? Shule si anasoma yeye
Sifanyi ibada, nenda kafanye wewe
Mimi niko sawa na sihitaji niombewe
Yaani morning yaani mpaka majogoo
Tunabambia watoto kwa pochi mishiko
Mifukoni ni noti ambapo
Na ngoma ikibamba inabamba nisoo
Mnaonifualitia mtabaki duwaa
Mtabaki kunisema wala sijali hasara
Hela zangu sasa mbona mna wakala
Hakuna mpenzi mtamu kama pombe mwaaah
Ah mwajua mnakera kweli
Hivi, nyie mwalewa kweli?
Kutwa kunisema niacheni
Nikifa nitazikwa na pombe bwana
Ah si maisha yangu
Niacheni pombe zangu
Wanga mnakata tu simu
Mnapenda kuchonga ebu tokeni hapa
Ah nimelewa ada nadaiwa na watoto
Sina kila kitu
Hamna chochote walicho nacho
Sina nyumba sina gari
Sina kila kitu bado napanga
Kwanzia leo sitaki tena ulevi
Sitaki tena ulevi
Nyasubi ndani ya mbanyu baby
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Pombe (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE