Kuolewa Lyrics
Nilishazunguka dunia pande zote
Nilishazama kila dimbwi kila tope
Nilishaonja kila utamu radhia zote
Nanga imegota na haitaki ichomoke
Kitabu huwezi kukielewa kwa cover
Huna ulimi huwezi kuijua radha
Hii ni nati kwa mkono huwezi kaza
Maneno hayaui so sijibu nanyamaza
Simu moja betri mbili sa zanini
Gari mbili haziwezi kushare injini
Maji ya bahari na ya ziwa tangu lini
Huwezi kusimama na ukapata cha uvunguni
Waoneshe tafsiri, pendo ni nini
Shika haya makali nasimamisha mpini
Naongeza umakini nimeishakua mimi
Nataka mpaka siku watuimbie em skiza
Haiya iya kuolewa utarudi
Nyumbani kutembea
Haiya iya kuolewa utarudi
Nyumbani kutembea
Haiya iya kuolewa utarudi
Nyumbani kutembea
Haiya iya kuolewa kuolewa
Na ndoa itafika ndelemo na vifijo vitaskika
Na goti ntapiga pete kidoleni nitavisha
Kama business nahitaji patner
Kwako na invest hofu sina
Nakuendoss tangaza penzi langu
Tangaza hii biashara umiliki ni wa kwangu
Zipo sababu za kukuacha no no
Lala kifuani ili nizime kama pono
Moyo kukupenda hauna mgomo
Vitendo vinaongea sikuhizi situmii mdomo
Waoneshe tafsiri, pendo ni nini
Shika haya makali nasimamisha mpini
Naongeza umakini nimeishakua mimi
Nataka mpaka siku watuimbie em skiza
Haiya iya kuolewa utarudi
Nyumbani kutembea
Haiya iya kuolewa utarudi
Nyumbani kutembea
Haiya iya kuolewa utarudi
Nyumbani kutembea
Haiya iya kuolewa kuolewa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2023
Album : Kuolewa (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE