Leo Lyrics

Leo oooooh Mungu Ameniona, ameniona
Leo oooooh Mungu Ameniona ameniona
Jaza jaba gonga glasi leo mambo yote mneso (Amina)
Mungu amekata minyororo yote ya mateso (Amina)
Mvua Jua vilitupita na hatukua na leso (Amina)
Ila tuliishi kwa imani tukiamini kesho (Amina)
Ukiona yanazidi sana majaribu
Basi kusucceed ku karibu
Nilidondoka nikainuka tena nikajaribu
Nikasema ipo siku Mungu atanijibu
Leo ooooh Mungu Ameniona, ameniona
Leo ooooh Mungu Ameniona ameniona
Ah nilikuwa single ila leo niko na baby (Amina)
Nishalizwaga mpaka chozi nikajaza debe (Amina)
Tena nabembelezwa nadekezwa dede (Amina)
Hatimaye leo tumewakata ngebe (Amina)
Wakileta leta mapepo (fire)
Wakitaka tuachane (fire)
Vineno neno vya chuki (fire)
Tukiachana mtuite mbwa tumekaa pale
Leo ooooh Mungu Ameniona, ameniona
Leo oooooh Mungu Ameniona ameniona
Leo natumia coz jana nilisettle (Amina)
Ile kupanda kushuka leo nami nina ghetto (Amina)
Dharau masimango tulishinda mateso (Amina)
Tuishi kwa imani na tuamini kesho ( Amina)
God when say nobody can say no nobody can say no
Mungu akisema inawezekana amna wakupinga wakupinga
Leo oooooh Mungu Ameniona, ameniona
Leo oooooh Mungu Ameniona ameniona
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Leo (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
MABANTU
Tanzania
Mabantu Is A Urban Boy Band From Tanzania Consisting Of Muuh Mabantu And Twaah Mabantu ...
YOU MAY ALSO LIKE