Neema Ya Mungu Lyrics

Neema ya Mungu
Neema ya Mungu imetuokoaa
Neema ya Mungu
Neema ya ya Mungu ni ushindi wetu
Neema ya Mungu
Neema ya Mungu imetuokoaa
Neema ya Mungu
Neema ya ya Mungu ni ushindi wetu
Haleluya aah haleluya
Neema ya Mungu imetuokoa
Haleluya aah haleluya
Tumemshinda shetani
Haleluya aah haleluya
Neema ya Mungu imetuokoa
Haleluya aah haleluya
Tumemshinda shetani
Tunashukuru ujio wake Yesu
Twafurahia ukombozi oooh wetu
Tunashukuru ujio wake Yesu
Twafurahia ukombozi oooh wetu
Lsingekuwa Yesu tusinge hesabiwa haki mbele zake
Lsingekuwa Yesu tusinge hesabiwa haki mbele zake
Pasipo nguvu ya ukombozi tungepotelea
Shimoni mwa dhambi
Zetu (mwa dhambi)
Pasipo nguvu ya ukombozi tungepotelea
Shimoni mwa dhambi
Zetu (mwa dhambi)
Yesu ni nguvu ni ngome ni mwamba
Yesu ni nguvu ni ngome ni mwamba wa wokovu wetu
Yesu ni nguvu ni ngome ni mwamba
Yesu ni nguvu ni ngome ni mwamba wa wokovu wetu
Si kwa nguvu bali ni neema kukombolewa twafurahi
Si kwa nguvu bali ni neema kukombolewa twafurahi
Ni yeye anajua kuhesabu siku zetu huyasikia maombi yetu

WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : The Sound of Ahsante (Album)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
NEEMA GOSPEL CHOIR
Tanzania
Neema Gospel Choir is a group of born again Christian Singers, members of Africa Inland Church (AICT ...
YOU MAY ALSO LIKE