Home Search Countries Albums

Tunapendana

MWANA MTULE

Tunapendana Lyrics


Nilipatana na Zambe
Nikiwa mtu bure
Hizo siku nilikuwa nimezubaa
Pale kwetu Webuye

Alinikuta nimeparara
Akaniosha nikang'ara 
Hii talanta ya muziki anakipa
Na akazidi kutenda miujiza

Mapenzi napata
Kwa mwenyezi sijawai ona pahali
Mapendo napata 
Sijawai ona pahali

Ah Zambe, Azali munene
Zambe, Azali munene

Naishi naye hapa duniani niko na yeye
Hakuna mwingine kama yeye
Ye anipa mapenzi
Mungu baba yu anipa hiyo mapenzi
Ye anipa mapenzi

Tunapendana mimi na Zambe
Tunapendana mimi na Zambe
Hatuwezi achana tuko hapa milele
Kama kunguni na shati chafu

Ah ni heri nikose picha ya kupost
Lakini nisimkose Mungu maishani mwangu
Amenikamata moyo yeye Baba
Ameiweza akili yangu yeye Baba

Yote mema anafanya ni mazuri mazuri mazuri
Hakuna kama Mungu ni mzuri mzuri mzuri
Naona mema yake, mazuri yake huyu baba
Ninafurahishwa naye

Napepea, napepea
Napepea na baba
Napepea na Mungu

Motema motema motema na Ngai
Ninapata raha 
Motema motema motema na Ngai
Ninapata raha 

Napendezwa naye, napendezwa naye
Siachani naye, siachani naye

Mama Fiona jana aliniambia
Alpha napendaga hiyo longi yako unavaa
Unafungia mshipi kwa tumbo
Nikamwambia ni Mungu ananing'arishaga
Na ni kweli Mungu ananing'arishaga
Mimi na Mungu tunapendana aah

Tunapendana mimi na Zambe
Tunapendana mimi na Zambe
Hatuwezi achana tuko hapa milele
Kama kunguni na shati chafu

Tunapendana, tunapendana na Mungu
Mungu anawapenda nyinyi wenzangu
Bahati, Kenya Mungu anakupenda
Ah Weezdom Mungu anakupenda...

Size 8 Mungu anakupenda
Ndugu yangu Dj Shiti Mungu anakupenda
Ndugu yangu G Mike Mungu anakupenda
Na asante

Tunapendwa soe na Mungu baba

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Tunapendana (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MWANA MTULE

Kenya

Alpha Mwana Mtule is a gospel artist, comedian and song writer from Kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE