Hakuna kama wewe Lyrics
Nakwabudu Mungu eeh
Naungana na Malaika baba
Pamoja na maseraphi ewe
Makerubi na wazee ishirini na wanne
Kusema hakuna kama wewe eeh
Hakuna kama Wewe Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe Hakuna kama Wewe
Tunainama tunainuka tukisema Wewe ni Mungu
Tunainama tunainuka tukisema Hakuna kama Wewe
Tunainama tunainuka tukisema Wewe ni Mungu
Tunainama tunainuka tukisema Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe Hakuna kama Wewe
Wakulinganishwa na Wewe
Wakusimama kando yako
Wakusimama juu yako hakuna
Aliye na nguvu kama Wewe
Anayetupenda kama Wewe
Anayetulinda hakuna
Anayetujali sisi
Anayetupa tunapoomba
Anayejibu maombi hakuna
Hakuna kama Wewe Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe Hakuna kama Wewe
Mtakatifu wa watakatifu
Uliyeketi kwenye kiti cha Enzi
Hakuna mwingine kama Wewe Baba
Hakuna anayetawala eieeh
Unayeponya magonjwa ya kila aina
Saratani na kisukati hata ukimwi
Hakuna jambo ngumu kwako
Wazitatua shida zetu
Wazifahamu wewe Baba twakwabudu
Umetupa afya njema
Umetulinda usiku kuccha
Umekuwa rafiki wetu wa karibu
Hakuna kama Wewe Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe Hakuna kama Wewe
Unayefarithi waliofiwa
Nakutufuta machozi
Unayetupa Amani Baba twakwabudu
Unayesamehe dhambi Jehovah
Unayeweka roho zetu huru
Unafungua minyororo ya shetani
Twakimbilia kwako ewe Baba
Msaada wetu ni wee
Tegemeo letu ni wee
Ieeh Messiah
Hakuna kama Wewe Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe Hakuna kama Wewe
Tunainama tunainuka tukisema Wewe ni Mungu
Tunainama tunainuka tukisema Hakuna kama Wewe
Tunainama tunainuka tukisema Wewe ni Mungu
Tunainama tunainuka tukisema Hakuna kama Wewe
Hakuna kama Wewe Hakuna
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2013
Album : Hakuna kama wewe (Single)
Copyright : © 2013
Added By : Trendy Sushi
SEE ALSO
AUTHOR
KATHY PRAISE
Kenya
Kathy Praise is a Kenyan Gospel Artist with a zeal for God, A wife and mother... A worship lead ...
YOU MAY ALSO LIKE