Kila Siku Lyrics

Alpha Mwana Mtule
Main Switch yeah…
Skuizi ukikosa namna marafiki wanakutoroka
Shida ni kiboa tumeshindwa hata na kufikiria
Na kwa wale hatujasoma
Kazi ya ofisi kwetu ni noma
Labda tuwai vibarua
Tuchape kazi ndiyo tupate unga aaaaaa
Ila wenzangu hiyo
Isifanye tuchoke kwa njia
Tumwombe mungu atuongoze ehh…
Tusije anguka juu
[CHORUS]
Kila siku
Tunajaribu kupanda ngazi tuna teleza
Majaribu yamejaa yanatufanya
Tuna sononeka
Wenzangu tusiogope
Mungu anatengeneza yote
Tumwombe mungu atuonyeshe
Jinsi ya kusonga mbele
Sio kila mtu anajiweza
Na hata walio nazo hawajatosheka
Chochote mola amekupa
Kama M.O.G
Tosheka
Mbona tunamruhusu shetani atuletee tamaa
Wenyewe kwa wenyewe tu
Tunaanza kunyanyasana
Tumwombe mungu atuongoze tu
Shetani asilete zake uduu
Atuongoze tu
Kila kitu itakua sawa
[CHORUS]
Kila siku
Tunajaribu kupanda ngazi tuna teleza
Majaribu yamejaa yanatufanya
Tuna sononeka
Wenzangu tusiogope
Mungu anatengeneza yote
Tumwombe mungu atuonyeshe
Jinsi ya kusonga mbele
(Baraka)
Ya kusonga mbele (Motisha)
Ya kusonga mbele (Ujuzi)
Ya kusonga mbele (Jinsi)
Ya kusonga mbele (Baraka)
Ya kusonga mbele (Motisha)
Ya kusonga mbele (Ujuzi)
Ya Kusonga mbele (Jinsi)
Ya kusonga mbele
[CHORUS]
Kila siku
Tunajaribu kupanda ngazi tuna teleza
Majaribu yamejaa yanatufanya
Tuna sononeka
Wenzangu tusiogope
Mungu anatengeneza yote
Tumwombe mungu atuonyeshe
Jinsi ya kusonga mbele
Eti wewe mgonjuwa huwezi pona
Mungu anatengeneza yote
Eti we si mrembo huwezi olewa
Mungu anatengeneza yote
Usitambue waganga tambua mola
Mungu anatengeneza yote
Usitambue waganga
Tambua mola
Mungu anatengeneza yote
Uwe we ni seremala
Mungu anatengeneza yote
Makanika contractor
Mungu anatengeneza yote
Director, producer
Mungu anatengeneza yote
Usitambue waganga Tambua mola
Mungu anatengeneza yote
Usitambue waganga Tambua mola
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2018
Album : Masaa (Album)
Added By : Afrika Lyrics
SEE ALSO
AUTHOR
MWANA MTULE
Kenya
Alpha Mwana Mtule is a gospel artist, comedian and song writer from Kenya ...
YOU MAY ALSO LIKE