Home Search Countries Albums

How We Do Lyrics


Machoro you killing it

This is how we do
Ukiongea si hatuna time
Utaona tunashine  
Tunahakikisha kwanza tuko fine
Ili tusitoke kwenye line, heshima ina ryme ye ye
This is how we do
This is how we do
This is how we do
We go to get that money
We go to get that money, everyday

Hello hello
How are you
Hawa, yes hawa
Hawa who
Unaweza hisi umetukanwa ukabaki sawa tu
Kilikuja na maji toka enzi ya saba juu
One man army, ila ni kama crew, I represent ma hood
Banana to K juu
Arusha mabegani baba ako guess who
Motra the future kwenye mic am coming through
Ama young na nnawauwa ila sijiiti young killer
Young ngwair, young geezy mabovu young zilla
Young legendary, young TD, young chila
Mi staki kufa, young kama, young mak miller
Mi ni your daddy, young daddy ni young D
Wengi hujiita ma young kisa U young young free
Kama kwenye dala dala huwa hamna young fee
Maisha ni kujitambua sawa young mass D
Ni mbaya kuwa young, halafu kuwa young dunya
Bora kuwa young king kama mwanangu young lunya
Kumiliki mkwanya kama ma nigger young suma
Young huna unalia lia u young kujituma
Kuwa young money, young geezy, young ray
Bongo kila demu anajidai young ma
Kia rapa anataka kuwa young ay young fa
It’s ok, but jiulize kwanza you got a pay nigga
Kwenye rap bongo mi sifananishwi
Kwasababu kwenye hussle, mi ni kama nipsey
Wengine ni matap tap, mi ni kama whisky
Kwahiyo please jina langu mlitaje kwa discipline
Baba ako pon de ting
This is how we do
Ukiongea si hatuna time, utaona tunashine
Tunahakikisha kwanza tuko fine
Ili tusitoke kwenye line, heshima ina ryme ye ye
This is how we do
This is how we do
This is how we do
We go to get that money
We go to get that money, everyday yeah

Kusoma sio ndo maisha yametiki
Wasomi kibao na simu za njaa hazikatiki
Maisha ni triki ya kutoka kwenye ohiki
Ni kujiongeza namna ya kuipatia riziki
Maisha ni matamu ila kuna muda yanaboa
Unaweza ukawa na moyo mweupe watu wakautia doa
Mwanangu anaitwa kinya
Alipanda stejini akasema ni kinya hapa watu wakajibu, utajoaa
Waambie hao watoto waache kunisema sema
Nimesotea kuwa hapa wala sikupenya penya
Pisi nyingi mjini kiafya wanadema dema
Na ndo maana mimi bwana sinaga  ulaku na ngenya
Mtoto wa mungu sauti yenye mamlaka
Nimebarikiwa mzee utantaka
Utanishaka kila kona hutanipata
Mimi mambo za kuuza sura hapana taka
This is how we do
This is how we do
Ukiongea si hatuna time, utaona tunashine
Tunahakikisha kwanza tuko fine
Ili tusitoke kwenye line, heshima ina ryme ye ye
This is how we do
This is how we do
This is how we do
We go to get that money
We go to get that money, everyday

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Baba Ako (EP)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

MOTRA THE FUTURE

Tanzania

Motra The Future is a rapper from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE