Feel Aje Lyrics

Oh baby girl mi napenda unavyodance
Oh baby girl nitafurahi tukiwa wote
Nafeel aje nikikuona nafeel aje?
Nafeel aje, unahisi nafeel aje?
Nafeel aje, nikikutouch nafeel aje?
Nafeel aje, unahisi nafeel aje
Aah mie nitajifia walai (Baby girl)
Vile unavyoroll ka Fally
Mami unanifanya kuwa lazy
Natamani kuwa nawe kudance
Hivi udongo gani uliumbwa ah ah
Nahisi sio udongo wa shamba ah ah
Vile uko line line
Natamani nikukunywe kama wine wine
Oh baby girl mi napenda unavyodance
Oh baby girl nitafurahi tukiwa wote
Nafeel aje nikikuona nafeel aje?
Nafeel aje, unahisi nafeel aje?
Nafeel aje, nikikutouch nafeel aje?
Nafeel aje, unahisi nafeel aje
Anapenda navyowhine navyokatika
Navyocheza na kiuno kama muzika
Nikienda nje ndani anabambika
Na nikisha mfikisha anamwagika
Brr beng beng beng
Hapa unapata vitu kem kem kem
Utawasahau hao them them them
The way I give you love we ndo same same same
Oh nah nah nah
Oh baby girl mi napenda unavyodance
Oh baby girl nitafurahi tukiwa wote
Nafeel aje nikikuona nafeel aje?
Nafeel aje, unahisi nafeel aje?
Nafeel aje, nikikutouch nafeel aje?
Nafeel aje, unahisi nafeel aje
Oh baby girl mi napenda unavyodance
Oh baby girl nitafurahi tukiwa wote
Nafeel aje nikikuona nafeel aje?
Nafeel aje, unahisi nafeel aje?
Nafeel aje, nikikutouch nafeel aje?
Nafeel aje, unahisi nafeel aje
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Asante Mama (Album)
Copyright : (c) 2021 MMB (Manzese Music Baby)
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE