Home Search Countries Albums

Eva Lyrics


Cos your my antena siamini nimenasatena
Baby still i can't believe you're my morning light
Nisimame kama candle light nikumulike kwenye kiza darling
Kwenye uzia nipenyeze lupia mambo yawe alright
Mboni nikifumba namwona mwenyewe
Akinikis ndo anafanya nilewe
Kibla amesha kaa ndo nishindwe mwenyewe roho yanguuu
Shingo upanga kiuno nyenyere
Kama paka kanifunga kengele jicho langu
Because you're beautiful and you're mine
Shine like a moon in the sky
Uzima wako ndo furah yangu i wish you better day

Lalala lala la lalala lala lala
Lalala lala lala lalalaalal
Lalala lala la lalala lala lala
Lalala lala lala lalalaalal
Lalala lala la lalala lala lala
Lalala lala lala lalalaalal

Pilipili umeniwashaa eeh
Kwarangi yako sina haja ya taa
Kweli nimenasaa eeeh nimekutana na nyota ya jaa
Gari umeliwashaa eee
Kwenye viungi nitaambaa nawee
Tumesha weka chataa we
Asiena mwana aeleke jiwe
Sitothubutu kukwacha upotee
Uendembali mi nibaki mpekee
Wale vijugu na wasikuguse
Mana itawa kostiii
Chukua moyo wangu dodolima upepee
Kwenye kiota tukajitulizee
Tumalize ujana tufikishe ata uzee
Mungu at bless
Because you're beautiful and you're mine
Shine like a moon in the sky
Uzima wako ndo furah yangu i wish you better day

Lalala lala la lalala lala lala
Lalala lala lala lalalaalal
Lalala lala la lalala lala lala
Lalala lala lala lalalaalal

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Eva (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

MO MUSIC

Tanzania

...

YOU MAY ALSO LIKE