Home Search Countries Albums

Naiona Kesho

MO MUSIC

Naiona Kesho Lyrics


Hmmmmh…. Hmmmmh….

Kama kijukuu
We ndo nyota mbalamwezi
Unawakawaka
Horror makuu, me nakupendaga mupenzi
Me naogopaga kifoo
Kama ni mechi we ni yanga na mimi simba
Msanii wangu niokote
Kama muziki wa malimba usipo piga
Siwezi fanya lolote

Wanakesha kwa waganga
Wakiwanga kwa manyanga
Kwa tugodi na hirizii
Ila mola ndo kapanga na akipanga
Ndo amepanga wacha wakose usingizii
Moyo wangu glasi
Nishike basi
Nisije uvunja bure
Nishadeliti yangu pasti
Hello wifey
Nataka nizeeke na weee

[CHORUS]
Naiona kesho iweee
Kesho Iwe mimi na wewe
Naiona kesho iweee
Kesho Iwe mimi na wewe
Naiona kesho iweee
Kesho Iwe mimi na wewe
Naiona kesho iweee
Kesho Iwe mimi na wewe

[VERSE 2]
Nikikosa basi, nafsi uitulize
Akina sudi wakinyapya
My dear, maneno yapuuze
Kama ukita totonto (twende)
Nigeria (twende)
Rwanda, burundi, Zimbabwe (twende)
Uganda, Kenya (twende)
Kama ukitaka hata mwanza (twende)
Kwa mama moshi kadem (twende)
Ama zongato ngwe' (twende)
(mpaka nyanzo kwele) (twende)

Moyo wangu glasi
Nishike basi
Nisije uvunja bure

Nishadeliti yangu pasti
Hello wifey,
Nataka nizeeke na weee

[CHORUS]
Naiona kesho iweee
Kesho Iwe mimi na wewe
Naiona kesho iweee
Kesho Iwe mimi na wewe
Naiona kesho iweee
Kesho Iwe mimi na wewe
Naiona kesho iweee
Kesho Iwe mimi na wewe

Heee (twende)
Mi nina ndoto niokote
Kwako mi kinda nideke(twende)
Mi nina ndoto niokote
Kwako mi kinda nideke(twende)

Oooh mama mama (twende)

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Naiona Kesho (Single)


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MO MUSIC

Tanzania

...

YOU MAY ALSO LIKE