Sina jina Lyrics

Ni jina la Yesu
Yapo majina yalikuwepo
Lakini jina Yesu linaishi
Sina jina lingine
Ila jina lako Yesu
Jina lenye nguvu
Ni Yesu Ni Yesu
Sina jina lingine
Ila jina lako Yesu
Jina lenye nguvu
Ni Yesu Ni Yesu (x2)
Hakuna jina lingine Kama lako Yesu
Sina jina lingine
Ila jina lako Yesu
Jina lenye nguvu
Ni Yesu Ni Yesu (x2)
Thank you Jesus
We love you Jesus
We love you Jesus
Ni Yesu ,Ni Yesu
Ni Yesu ,Ni Yesu
Ni Yesu,Ni Yesu
Ni Yesu Ni Yesu
Ni Yesu Ni Yesu
Pekee yake aneza kuokoa
Aliyekufa msalabani
Kwa ajili yangu nawe
Imetukomboa
Ni Yesu
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Sina Jina
Copyright : ©2020
Added By : Its marleen
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE