Home Search Countries Albums

Naibiwa

MIKA BOY Feat. BARNABA

Naibiwa Lyrics


Ya nini mchuzi wa pweza, ngali inajiweza iyo
Kagusa kidoko mtoto, inateleza iyo
My cherie coco, we ndo yangu kiboko
Sufuria na mwiko nakupenda iyo

I can't live without you
Siwezi spend maisha bila wewe
Nimekuzoea baby

Likizo najipa mwenyewe, sisubiri ya boss
Maana nahisi naibiwa naibiwa
Weekendi natoka na wewe, siwezi kutoka mwenyewe
Maana nahisi naibiwa naibiwa

We unanifaa, sana iyee
We unanifaa, sana iyee iyee
Kidogo tule kikubwa chaja 
Pengine kwa shali ya kule
Wali nipe nikupende

Zidisha mikogo viwanjani twende
Upendeze wewe, wewe
Kama ruba she yo nigande usiniache
Macho yake mwanga wee nimepania

Baby you come down 
Slowly slowly utanimaliza
Moyo umeifunga
Kwako nishazama 

Likizo najipa mwenyewe, sisubiri ya boss
Maana nahisi naibiwa naibiwa
Weekendi natoka na wewe, siwezi kutoka mwenyewe
Maana nahisi naibiwa naibiwa

(Lizer on the Mix)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Naibiwa (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MIKA BOY

Tanzania

Mika Boy is a singer and a songwriter from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE