Home Search Countries Albums

Nisawa Lyrics


Sina hamu, toka undoke nakonda mwenziyo
Sina damu, yani nusu ni zikwe
Wangu wa utamu
Wame mteka mchana na mwonaa
Hata kwa damu nitaroga achike
Maana moyo wangu kautia doa
Jike yemwenyewe aah
Yee kaona poaa nidharirike
Kwenye dimbwi refu nani ataniokoa
Nazama mwenyewe hee
Kama nliboa nibadilike
Yani usingizi sipati mwenzenu
Mpaka ninywe vidonge
Yani naumia sitaki mwenzenu
Kasha jua mi mnyonge
Kanifungia mabati
Japo badoninadonge
Naona mapicha picha
Waki twitter ooh
Okey sawa umeniumiza
Nisawa (nisawa)
Na furaha umenikatiza
Sawa eeh (ni sawa sawa eeh)
Kama vipi namba yangu futa
Sawa (nisawa)
Migari vipi bila mafuta (nisawa)
Magari vipi bila mafuta
(Ni sawa , nisawa sawa)

Tena mpeni jabari, yale maradhi alioniachiaa
Sijapona bado
Sijapona bado
Tena ya sasa hatari, nikimuwaza tu na zimia
Sijapona bado  miee
Sijapona bado
Nilijisahurisha, nifute picha
Wende nsikone nitajirizisha
Mama ni vita, kama sio insta
Hata snapchat, nikipita pita
Fanya unione, sina furaha hata tone
Nahitaji usingizi, sindano unichome
Kaa nguo unishone nlipo chanika
Niwe sawa
Maana usingizi sipati mwenzenu
Mpaka ninywe vidonge
Yani naumia sitaki mwenzenu
Kasha jua mi mnyonge
Kanifungia mabati
Japo badoninadonge
Naona mapicha picha
Waki twitter ooh
Okey sawa umeniumiza
Nisawa (nisawa)
Na furaha umenikatiza
Sawa eeh (ni sawa sawa eeh)
Kama vipi namba yangu futa
Sawa (nisawa)
Migari vipi bila mafuta (nisawa)
(Ni sawa , nisawa sawa)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Nisawa (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

BONGA DE ALPHA

Tanzania

Bonga De Alpha is an artist, music producer and songwriter from Tanzania ...

YOU MAY ALSO LIKE