Maisha Tiki Lyrics
Kaa kuna kitu naogopa nikuandika jina God, na small letters
Cheki vile genge inatesa niko na mazina, na cheza na mpesa
Spicy, cheki shingo iko icy
Ni baraka ya Almighty maisha tiki kama nikii ha ha
Kaa hauna pesa rudi home, story ya kuomba pombe aha
Manze ina bore
Behind every smile kuna kaa roho chafu ehe
Kaa rada ya watu
Huyu manzi amebeda masheveshe, yaani haga wa wetete
Usiku sacco tupatane hapo inje
Sherehe leo iazima tupige
Spicy, cheki shingo iko icy
Ni baraka ya Almighty maisha tiki kama nikii ha ha
Si ulikuja kukunywaaaa, usipapase chupaaaa
Doba haiwezi iishia hapo mzing
Rudisha beat
Yooooh
Freedom is coming hahaaaa
Producer krome
Yoh yoh yoh yoh
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Maisha Tiki (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
MEJJA
Kenya
Mejja aka Okwonko real name Major Nameye Khadija is an artist from Kenya, a member of the Kanso ...
YOU MAY ALSO LIKE