Home Search Countries Albums

Tabia za wa Kenya (Kanairo)

MEJJA

Read en Translation

Tabia za wa Kenya (Kanairo) Lyrics


(Vicky pon dis)

Karibu Kanairo karibu Kenya
Kuja nikushow vako za wakenya
Tuna talanta ya kucheki weather
Hio jua, hio jua ni ya mvua
Na ni kali eeh niko sure

Ukiwa kejani uskie umeboeka 
Ukiona memes unaanza kucheka, hio ni Kenya
Bahati yako mbaya ukichoma picha
Utapewa hashtag eeh hapo Twitter, uta Trend
Customer Kenya ndo husema asanti
Na ni yeye amelipa, na aseme asanti badala ya muuzaji

Karibu Kenya, tuna tabia zetu tu (Tu)
Karibu Kenya, si Masai Mara tu (Tu)
Tuna madem peng (Peng), mamorio mabazeng
Lugha ya Taifa ni sheng (Sheng)
Karibu Kenya
Tuna madem peng (Peng), mamorio mabazeng
Lugha ya Taifa ni sheng (Sheng)

Kanairo, tabia ya wakenya ya kutuma mail
"Ulituma mail?" Buda nilituma 
Kwani haukuiona? Hio ni uongo
Customer Kenya akisema "Nitarudi"
Kila mkenya anajua huyo harudi

Mkenya akienda choo na aone kuna mtu
Bado atabisha na aulize "Kuna Mtu?"
Masaa na mkenya lazima atachelewa sana
Lakini sherehe tunafika mapema .. tena sana
Na tunateta umetuweka

Karibu Kenya, tuna tabia zetu tu (Tu)
Karibu Kenya, si Masai Mara tu (Tu)
Tuna madem peng (Peng), mamorio mabazeng
Lugha ya Taifa ni sheng (Sheng)
Karibu Kenya
Tuna madem peng (Peng), mamorio mabazeng
Lugha ya Taifa ni sheng (Sheng)
Ah Kanairo

Excuse ya Mkenya akikunyima pesa
Atadai "Buda I wish ungenipigia mapema"
Nilikuwa na hio pesa nikatumia matha
Sai sai tu

Ukikuja Kenya heshimu watu watatu
Akina nani? Mwizi polisi kegonyi wa matatu
Kwanini? Uliza Mkenya atakwambia sababu

Tunapenda sherehe ah
Tunapenda mneti yoh
Watoto wa Kenya ni warembo
Watoto wa Kenya ni ma pengtinf

Karibu Kenya, tuna tabia zetu tu (Tu)
Karibu Kenya, si Masai Mara tu (Tu)
Tuna madem peng (Peng), mamorio mabazeng
Lugha ya Taifa ni sheng (Sheng)
Karibu Kenya
Tuna madem peng (Peng), mamorio mabazeng
Lugha ya Taifa ni sheng (Sheng)
Kanairo

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Tabia za wa Kenya (Kanairo) (Single)


Copyright : © 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MEJJA

Kenya

Mejja aka Okwonko real name Major Nameye Khadija is an artist from Kenya, a member of the Kanso ...

YOU MAY ALSO LIKE