Home Search Countries Albums

Landlord

MEJJA

Landlord Lyrics


Landlord yo
Landlord yo
Landlord yo
Landlord yo
Landlord yo
Landlord yo
Landlord yo
Landlord yo

Asubuhi imefika nimeamka bila balaa
Naeka mkeka chini napiga swalaa
Naenda zangu bafu kisha mambo safi
Navaa chini sneaker, juu navaa shati
Kisha... ksh ksh... oh sinanga marashi
Nakunywa kahawa nikiteremsha kaimati
Naskia kuna mtu anabisha mlangoni
Kuenda kufungua, ah katoto kajirani
Huwa kananipenda, ye hukuwa beshte yangu
Mejja usisahau leo kuniletea madafu
Leo ni lazima, redio inanibamba
Juu kila station inacheza genge mbaya
Juu nishashiba sa ni kuenda ku-hustle
Nikienda kutoka ndio nifungue mlango
Eh, jo, beste siamini
Napata mwenye nyumba na kifuli mkononi

Eh! Usiniharibie siku bana landlord
Umenifika kwenye koo (eh eh eh)
Wee ni tafash tu

Usiniharibie siku bana landlord
Umenifika kwenye koo (eh eh eh)
Wee ni tafash tu

Usiniharibie siku bana landlord
Umenifika kwenye koo (eh eh eh)
Wee ni tafash tu

Mwenye nyumba amekubali amenipa mpaka jioni
Sija chukulia hata gomba juu leo niko mbioni
Napigia Omondi, si unitupie mkopo
Mejja wee nasahau, si niko na deni yako
Wazi naenda kwa Vaite kuchukulia ketepa
Kuna manzi ako mbele yangu amejibeba
Mi na yeye hapo natupa lugha
Ashaanza kudai imagine sijakula
Staki ajue mi hukula mandazi surwa
Tunakula Steers, nanunua beer
Kisha zikimbamba anaanza kuniambia
Sikujui lakini nakutaka sana itisha taxi tena haraka
Kufika keja kwanza ni kushtuka
Tumekula Steers na hujalipa nyumba
Sijui kwa nini nimesahau kukumbuka

Eh! Usiniharibie siku bana landlord
Umenifika kwenye koo (eh eh eh)
Wee ni tafash tu

Usiniharibie siku bana landlord
Umenifika kwenye koo (eh eh eh)
Wee ni tafash tu

Usiniharibie siku bana landlord
Umenifika kwenye koo (eh eh eh)
Wee ni tafash tu

Usiniharibie siku bana landlord
Umenifika kwenye koo (eh eh eh)
Wee ni tafash tu

Usiniharibie siku bana landlord
Umenifika kwenye koo (eh eh eh)
Wee ni tafash tu

Usiniharibie siku bana landlord
Umenifika kwenye koo (eh eh eh)
Wee ni tafash tu
Sijiskii kuhama na sitaki more 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2016


Album : Landlord


Copyright : ©2016


Added By : Its marleen

SEE ALSO

AUTHOR

MEJJA

Kenya

Mejja aka Okwonko real name Major Nameye Khadija is an artist from Kenya, a member of the Kanso ...

YOU MAY ALSO LIKE