Home Search Countries Albums

Nakubaliana

GLORIA MULIRO

Nakubaliana Lyrics


Heey heyy na na na

Nakubaliana na neno lako Bwana
Nitasimama kwa neno lako Bwana
Nakubaliana na neno lako Bwana
Nitasimama kwa neno kwa lako
Nakubaliana

[CHORUS]
(Nakubaliana na neno lako Bwana. Nitasimama
Nitasimama kwa neno lako Bwana
Nakubaliana na neno lako Bwana
Nitasimama kwa neno lako Bwana)

[VERSE 1]
Ni neno lako tu halibadiliki
Ni neno lako tu lakutumaini
Umeliiniwa juu ya jina lako,neno
Halikurudii bure,neno la kinywa chako Bwana
Acha nilishikilie nilitumaini nikikungoja Bwana
Acha nilishikilie nilitumaini nikikungoja Bwana.

Kila ulilosema ni kweli
Hata likikawia ni kweli
Kila ulilosema ni kweli
Hata likikawia ni kweli.
Ahadi zako kwangu ni kweli
Hata zikikawia
Nakubaliana

[CHORUS]
(Nakubaliana na neno lako Bwana
Nitasimama kwa neno lako Bwana
Nakubaliana na neno lako Bwana
Nitasimama kwa neno lako Bwana)

Mmmmmh...ooo,wo wo wo
Nitasimama
Nakubaliana eeeh

[VERSE 2]
Daktari amenipa ripoti yake, sikubaliani.
Maana Bwana ulituma neno lako ili mimi nipone
Majina yote mimi nilioitwa sikubaliani
Maana mbele za Mungu ninafaa
Tena mimi ni wa maana
Maana mbele za Mungu ninafaa
Tena mimi ni wa maana
Iwe kwangu utakavyo babaa
Iwe nami upendavyo Babaa
Iwe kwangu utakavyo Babaa
Iwe kwangu utakavyo eeeeh nakubaliana

[CHORUS]
(Nakubaliana na neno lako Bwana
Nitasimama kwa neno lako Bwana
Nakubaliana na neno lako Bwana
Nitasimama kwa neno lako Bwana)

Nitasimama (Nitasimama)
Nitasimama (Nitasimama)
Nitasimama (Nitasimama)
Nitasimama (Nitasimama)
Nitasimama (Nitasimama)
Nitasimama (Nitasimama)
Nitasimama (Nitasimama)
Nitasimama (Nitasimama)

Nitaishi (Nitaishi)
Nitaishi (Nitaishi)
Nitaishi (Nitaishi)
Nitaishi (Nitaishi)
Nitaishi (Sitakufa)
Nitaishi (Nitaishi)
Nitaishi (Milele)
Nitaishi (Nitaishi)
Nitaishi (Nitaishi)

Niko na Mungu nitasimama
(Nitasimama) Nitasimama
Niko na Mungu nitasimama
Nitasimama (Nitasimama)
Nina iman  (Nitasimama)
Nitasimama (Nitasimama)
Nina neno (Nitasimama)
Nitasimama (Nitasimama)
Nitasimama (Nitasimama)

Nitaishi (Nitaishi)
Nitaishi (Nitaishi)
Huduma yangu nitaishi
Biashara yangu nitaishi
Vyote vyangu nitaishi
Eeeehhh nitaishi,nitaishi
Nitaishi,sitakufa,sitakufa
Nanena uhai leo  maishani mwangu

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Nakubaliana (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

GLORIA MULIRO

Kenya

Gloria Muliro is a Kenyan Gospel Musician who was born in Emuhaya, Western of Kenya to the late Davi ...

YOU MAY ALSO LIKE