Home Search Countries Albums

Simba Lyrics


Simba kimataifa, taifa wapinzani mtasubiri
Washindi wa vikombe na medali
Bila biriani kachumbari
Muulize mama je anajua, gome zitaua ba
Na mdogomdogo utatwarwa

Simba hainichinje mie
Na hizo pasi utanitoa roho

Madoidi yatosha 
Waone wapinzani hawajitambui
Nyi mko ngomani na mpira hawajui
Mwone mzee mpili analia
Jamani mtaamua ma
Moh nichinje mie kwa hio mihela utanitoa roho
Jamani mie, mimi ni simba damu kuwa malaya wa timu siwezi
Kama iwe, izungu msukule kamfukuzisha na ujenzi
Mshenzi vunja bei unamjua, oh jamani unamjua

Jamani na Mobetto, unamjua
Mbunge shangazi unamjua
Hivi grand scare unamjua

Magoli anachenja kadi, anachenja kadi
Anachanja kadi, anachanja kadi
Nabanga anachenja kadi, anachenja kadi
Anachenja kadi, anachenja kadi
Hamstone ana chanja kadi

Basi twende taifa tukaenjoy 
Oh jamani tukaenjoy
Pamoja simba day tukaenjoy
Oh jamani tukaenjoy

Na uzi wa simba tukaenjoy 
Oh jamani tukaenjoy
Pendeza kisimba tukaenjoy

Jamani leo ndo leo leo, tunacheza mpaka asubuhi
Mama leo, tunaruka mpaka asubuhi
Jamani leo, tunacheza mpaka asubuhi
Simba day leo, tunaruka mpaka asubuhi

Jamani oh wakali mama, wana ukali gani kama simba?
Si wakali mie, wana ukali gani kama simba?
Jamani oh wakali mama, wana ukali gani kama simba?
Wakali kutuzidi sie, wana ukali gani kama simba?

Halleluyah, Amen Amen
Halleluyah, Amen Amen
Halleluyah, Amen Amen
Halleluyah, Amen Amen

Wanasimba Halleluyah, Amen Amen
Halleluyah, Amen Amen
Halleluyah, Amen Amen
Halleluyah, Amen Amen

Salam anachenja kadi, anachenja kadi
Mwijaku anachenja kadi, anachenja kadi
FY anachenja kadi, anachenja kadi
Dimpoz anachenja kadi, anachenja kadi

Basi twende taifa tukaenjoy 
Oh jamani tukaenjoy
Pamoja simba day tukaenjoy
Oh jamani tukaenjoy

Na uzi wa simba tukaenjoy 
Oh jamani tukaenjoy
Pendeza kisimba tukaenjoy

Waje, waje, waje, waje
Na wanangu mpira pesa, waje
Waje....

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Simba (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MEJA KUNTA

Tanzania

Meja Kunta aka PARISH LAWAL is an artist from Tanzania. Singeli artist at Uswazi music. Me ...

YOU MAY ALSO LIKE