Kolo Lyrics
Star kid
Ooh nah nah, mmmh
Beautiful charter eeh
Utamu hadi ndani
Ngundi kunasa eeh
Chotara wa kingoni
Alivyonikamata eeh
Utani utani
Ganzi imenipata eeh
Kuwa naye hata siamini
Shepu matata ya miala bei
Sina ujanja mi ni boya wake
Mapenzi Tanga nikamroge
Kufa kupona kwenye penzi lake
Kama mwizi yaani muruze
Hata kifo niko radhi kwake
Nimempenda nitafanyaje?
Mama wa kambo kijakazi wake
Kolo, umeniweza kabisa
Kolo, you make me go low
Kolo, umeniweza kabisa
Eeh eeh eeh
Kolo, umeniweza kabisa
Kolo, you make me go low
Kolo, umeniweza kabisa
Eeh
Sichomoi, hunitoi
Kanipa penzi lilo pitiliza
Sikohoi, sipumui
Hivi ni kweli au nguvu za giza
Mtoto magarita
Ameshika nyuzi kwenye guitar
Mwendo wa kinyonga sinyorita
Michezo kama yote yaani zig zag
Hajatoka mbali kilomita
Jezi mgongoni namba tisa
Anikosha na mikogo akipita
Popote natamani kumuita, ita eeh
Shepu matata ya miala bei
Sina ujanja mi ni boya wake
Mapenzi Tanga nikamroge
Kufa kupona kwenye penzi lake
Kama mwizi yaani muruze
Hata kifo niko radhi kwake
Nimempenda nitafanyaje?
Mama wa kambo kijakazi wake
Kolo, umeniweza kabisa
Kolo, you make me go low
Kolo, umeniweza kabisa
Eeh eeh eeh
Kolo, umeniweza kabisa
Kolo, you make me go low
Kolo, umeniweza kabisa
Eeh
Tikitaka tikitaka
Mapenzi yako zigizaga zigizaga
Tikitaka tikitaka
Mapenzi yako zigizaga
Kolo, kolo, kolo
Eeh eeh eeh(Kolo)
Ooh nah nah nah
Kolo, kolo, kolo
Eeh eeh eeh(Kolo)
Mmmh...
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Kolo (Single)
Copyright : All rights to the owner.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE