Home Search Countries Albums

Bless

MATTAN

Bless Lyrics

Ohh Nhe hehee bless blesss
Yeeah

Jah anabless Harakati | Anabless maisha yana kwenda kasi
kila step Dua napata kua nafasi Alhamdulilah kwa hii leo yea ye yeah
Asante Mama Angu kwa niombea Japo nskose mkate wa Kurumangia.
Oh my God kwa mitihani mingi Anijibia yeah
Naitamani hatua ya mbele 
Japo imejaa miiba ba Ustar umeukua Gharamaa
Watu hawaoni karamaa
Wahuni Wengi chimbo wanapambana kick na Muziki vinavutana
Naona undergrounds jinsi wanavyotukanwa!!
Hustling! He! Bless Bless

Yeah Oh lord thank you i breath
Whom shall i.. weh yeh seh

Muda hautoshi na hayo mambo yapo mengi
Unaweza sema dunia haiko sawa kwa mengi 
Kadri tunavyo jongea tunavyojongea tuna pishana na mengi
Yeah already we hustle my god o bless up my hustle yeah
I will rise up rise up papa God o bless my hustle

Naitamani hatua ya mbele 
Japo imejaa miiba ba Ustar umeukua Gharamaa
Watu hawaoni karamaa
Wahuni Wengi chimbo wanapambana kick na Muziki vinavutana
Naona undergrounds jinsi wanavyotukanwa!!
Hustling! He! Bless Bless

Already we hustle my God o bless up my Hustle yeah
I will rise up rise papa God o bless Up my hustle
Yeah bless bless bless bless I
Yeah
Yeah yeah bless I
Ble ble bless i
My God o bless up my Hustle
Yeah we hustle Already We hustle
Already we …hhh
My Hustle

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Poison (EP)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

MATTAN

Tanzania

Mattan is an artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE