Home Search Countries Albums

Pipi Lyrics


Nami nawapa pipi watoto
Mziki changamoto
Mpaka kufika nilipo
Nahisi kipaji si ujiko

Ee Mola Baba mi nipo
Sina chochote juu yako
Nipe uhai kipato
Nishinde husta za waja wako

Kuna wanaopenda majina na tushanga
Eti ooo Meja amepata raha
Shindano shindo shindo poa wanapunga
Mejja wa Mejja kwa Mejja tunasonga

Basi njooni pole pole waja
Shinda kujua na sikuzaliwa Dar
Au unataka kidolee kukaa
Iwe furaha na nijione shujaa

Eti basi na ooh mama inaniuma
Oh jamaa nafsi inachoma
Kipenzi ooh mama mi inaniuma
Oooh jamaa nafsi inachoma

Nafsi na ooh mama inaniuma
Oh jamaa nafsi inachoma
Kipenzi ooh mama mi inaniuma
Oooh jamaa nafsi inachoma 

Basi tucheze kidogo, we kidogo
Turuke kidogo, we kidogo
Wote tucheze kidogo, we kidogo
Turuke kidogo, we kidogo

Basi tunainama, inuka mdogo mdogo
Unainama inuka
Twende na unainama, inuka mdogo mdogo
Unainama inuka

We tinga ujana umemtoka baby mama
Kauli chafu, poza koa mpe sehemu
Majizu ume mjumbe sio sintofahamu
Sawa shopping waende wawahi sizom

Kipenzi subiri kesho, kama nidhamu
Hawawezi felisha kesho, kuja duniani
Vipofu watale kwa macho, ma--
Hawajui lijalo kesho, kwa Mola nidhamu

Lukambasi sikuogopi umebaki jina
Kelele kibao na nyimbo zako zimechina
Nendea vocals supercopy unavyo sigina
Maneno kibao kwao wa ki China

Lokambasi wa 4, 4 jirani
Sio uende mbele urudu 
Upate hujulikani kichuna

Gmaker, makers gang
We Ayubu khan, waso wiso...

(Ngatale Music)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Pipi (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MEJA KUNTA

Tanzania

Meja Kunta aka PARISH LAWAL is an artist from Tanzania. Singeli artist at Uswazi music. Me ...

YOU MAY ALSO LIKE