Najiuliza Lyrics
Mmmmmhh lelelele
Nikisema tuachane
Nirekebu yangu mapungufu
Kibinadamu
Moyo unanongoneza
Unapo nipa mtazamo ungekua Kando ningekuchumu maaa
Upopote ulipo ujue bado
Nakupenda
My baby my baby
Uvumi upepo wawili tuvuke Ngambo
Aaaah my baby my baby
Hata dunia itoke kwenye mhimili
Kweli Hakuna wa kubadili
Tulianza pair Kanda mbili
Na hata kaa umependa tukiwa
Hivi mbili mbili nisawaaa
Swali moja nakuuliza
Nitakusahau ulipo
Nitakusahau nitakusahau
Nitakusahau nitakusahau nitakusahau
Nitakusahau mahali ulipo
Aaaahh kumbu kumbu inanitesa Sanar
Nikikumbuka mapenzi
Kweli Ni mwengi ulionifunza
Sitaki amenichosha
Popote ulipo ujue bado nakupenda
My baby Hata Dunia itoke kwenye mhimili
Kweli Hakuna kubadili
Na hata kaa umependa tukiwa
Hivi mbili mbili nisawaaa
Swali moja najiuuliza
Nitakusahau ulipo
Nitakusahau nitakusahau nitakusahau nitakusahau nitakusahau nitakusahau nitakusahau
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Najiuliza
Copyright : ©2020
Added By : Its marleen
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE