Home Search Countries Albums

Chekecha

Y PRINCE

Chekecha Lyrics


Kwanza najidai mwenzenu mjini kitambo 
Kweli dogo sikatai ila ni bingwa wa kuhaso
Nishachanga karata dume eeh!
Acha magarasa yanune eeh!
Kwa madogo me ndo king mfalme
Yaani leo mpaka bubu aseme

Siku hizi madogo wamekuwa wengi
Wanafanya kila kitu wapate trending
Nawabonyezea mdebwedo kizenji
Mdogo kimziki

Najionea vingi kutikuti
Shingoni na manati nishajikoki
Yaani watu eeh!, Mambuzi mee
Mabata ha ha ha yani mukide,

Yaani mnatakaje, nauliza mnasemaje
Yaani mnatakaje eeh!
Chekecha chekecha aah chekecha chekecha 
Nauliza mnasemaje 
Pepeta pepeta pepeta, nawapeta pepeta pepeta

Waje shazi wajipange
Wavunje nazi wakaniroge 
Kilio kilio, hawana mtetezi
Kilio kilio, roho wa kugawa toke
Kilio kilio, wameishiwa pozi
Kilio kilio

Mi sio nyoka wa kidisa nawameza
Aah mwanasesere nachezesha
Nawakera kera na wanune (Nune nune)
Nishawashinda sera me ndo Mbunge

Yaani leo ndoto party kutikuti
Shingoni na manati nishajikoki
Yaani watu eeh!, Mambuzi mee
Mabata ha ha ha yani mukide

Yaani mnatakaje, nauliza mnasemaje
Yaani mnatakaje? 
Chekecha chekecha aah chekecha chekecha 
Nauliza mnasemaje 
Pepeta pepeta pepeta, nawapeta pepeta pepeta

Yaani leo ndoto party kutikuti
Shingoni na manati nishajikoki
Yaani watu eeh!, Mambuzi mee
Mabata ha ha ha yani mukide

Yaani mnatakaje, nauliza mnasemaje
Yaani mnatakaje? 
Chekecha chekecha aah chekecha chekecha 
Nauliza mnasemaje 
Pepeta pepeta pepeta, nawapeta pepeta pepeta

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Chekecha (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

Y PRINCE

Tanzania

Y PRINCE is a young artiste from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE