Home Search Countries Albums

Monica Lyrics


Eehe mh ee Monica Repeat 
Vile mama Unanichanganya Mapenzi unayonipa Chanya
Chondee Usije nidanganyaa

Come bless mi home byaby please dont go far from me
Mi gwana crazy like boya!
Byaby pressure can killl so dont let hang mi Self
Mi gwan love u feel like higher
Byaby wangu wee usio na Ndwee Unyemi umenijaza Maka
Basi nakupa kipaumbele deka / deka deka
Sidhani kama wee Utajanitwika Mazito nikashindwa Kutua
Naunajua nakupeenda wewe Byaaby!!

Monica he mh hee Monica he mh he 
Monica he mh hee Monica he mh he 
Monica he mh hee Monica he mh he 
Monica he mh hee Monica he mh he 

Mo mo monica he
Mo mo monicaa
Chonde Usije Nidangaaanyaa

Kama Picture unavyoniganda Sina Pressure
Antilia Jicho like anichora kwa paper
Namtuliza Taratibu nampozeesha
Namtamalaki mpka zaidi asema washaa
I’ma dengerous POISON
Mattan on is Like Poison
Nikiwa nae Mtoto sexy
Nikiwa Nae Mtoto Sexy
A mama a maa a maaa a maaa

Byaby wangu wee usio na Ndwee Unyemi umenijaza Maka
Basi nakupa kipaumbele deka / deka deka
Sidhani kama wee Utajanitwika Mazito nikashindwa Kutua
Naunajua nakupeenda wewe Byaaby

Monica he mh hee Monica he mh he
Monica he mh hee Monica he mh he 
Monica he mh hee Monica he mh he 
Monica he mh hee Monica he mh he

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Poison (EP)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

MATTAN

Tanzania

Mattan is an artist from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE