Home Search Countries Albums

Mzee Mbuzi

FID Q Feat. GIFTED

Mzee Mbuzi Lyrics


Mzee Mbuzi wewee!

[Verse 1]
Hii game ni yako, Hizo ndiyo kauli za mitaani
Haufiki sehemu bila ku-Hustle, Hivyo walinishauri nipambane
Nauli nisakanye, Maisha ni safari nijihami
Ball so hard mfcker wanna find me
Yes, kipindi ya mchonga niliishi fresh kabla ya ruksa
Mshua hakuwa na stress, Alilaza cash usiku kucha
Ghafla akawa haonekani nyumbani, Shida zikatupa fursa
Ikawa msafi ana zamani, Basi mchafu naye ana future
I remember, Enzi zile uso wa mbuzi ndiyo unapendwa
Silipi nauli kwa mikwara, Na uki-move nakutenda
Kwenye daladala, Konda fala asije nitenda
Mi ni staff ka nyapara, Huko bara nisha-surrender

Nilichotaka nifike studio
Ni-record muweze nipata kama busta au kuriyoo
Sikuwa na pozi za kirapa nilikuwa Gangsta sijui Yooo
Nikawa conscious, Mtu wa culture, Rasta ambaye haangui ng'oo


Niliyoanza nao ni kama hawataki huu mchezo
Eti unahitaji zaidi ya bahati, Yaani kismati na uwezo
Haufuati vigezo
Unapoamua huchuja hadi wanaojua
Natukuzwa nawazingua, Ukiuchunguza utagundua

[Chorus]
Mzee mbuzi weee... Wee! Wee!
Wewe... Wewe... Wewe... Wewee
Mzee mbuzi weewe..
Wewe... Wewe... Wewe... Wewee
Ni wazi haikuwa rahisi, But you made it
Mzee mbuzi wewee...
Wewe... Wewe... Wewe.. Wewee

[Verse 2]
Ukishajua nini unataka, Nini chahitajika ili ukipate
Kamilisha mahitaji kisha kifuate
Sikuwa humble mbele ya wajeda pale mnafiki akizingua
Kivuli cha unyasi, Hakimzuii mtu jua
Mi na-hustle ile ki heavy weight
Skendo haziwezi mnyea Fid
So fragile and delicate, Handle with care.. Care
Bado sijafeli eti, Mjengo unaniteta street
Kama Makaveli nikifanya kweli zinaenea hit

Kinachowaponza watoto wa mjini ni tamaa na mikumbo
Macho huonja kabla ya ulimi, Na wana njaa zaidi ya tumbo
Kataa kuwa kaa, Kataa kukaa kaa
Bila chapaa, Kitaa hautong'aa papa

Ninavyotembea ni kama hero wa kuitwa Che Guevara
Navyozisaka hata nikipata, Zero inakuwa sio ya duara
Hai-make sense kama haileti dollar
Mwache waiter a-keep change, kama waitress fala
Yote haya yalikua ni utoto juu ujana
Yalianza na maamuzi ya utoto kuukana

Yakafuata makamuzi ikawa moto juu sana
Tukawaacha wenye makuzi bila soo huku wakitukana
Wana hate coz siwezi afford kufanya mistake
Wanacho otea hawa matozi, Of course, Kinaonekana kime shake
Muda niliusoma kwa jua kabla ya Jaco kuyajua
Saa hii kila ngoma wanaipakua, Inaipa macho Medulla

[Chorus]
Mzee mbuzi weee... Wee! Wee!
Wewe... Wewe... Wewe... Wewee
Mzee mbuzi weewe..
Wewe... Wewe... Wewe... Wewee
Ni wazi haikuwa rahisi, But you made it
Mzee mbuzi wewee...
Wewe... Wewe... Wewe.. Wewee

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : KitaaOlojia/Mzee Mbuzi (Album)


Copyright : (c) 2019


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

FID Q

Tanzania

Fid Q, born Fareed Kubanda on the 13th of August 1982 in Mwanza, Tanzania, is a popular Bongo F ...

YOU MAY ALSO LIKE