Home Search Countries Albums

Ananipenda

WALTER CHILAMBO

Ananipenda Lyrics

Yesu ananipenda  yesu ananipenda  yesu ananipenda
Haki ya mungu ananipenda (ananipenda)
Yesu ananipenda  yesu ananipenda  yesu ananipenda
Haki ya mungu ananipenda (ananipenda)
Yesu ananipenda yesu ananipenda (ananipenda)  
Eeeh yesu ananipenda  (ooh ananipenda)
Yesu ananipenda yesu ananipenda (ananipenda)
Ooh yesu ananipenda  (ananipenda)
Yesu ananipenda  yesu ananipenda  (ananipenda)  
Eeeh yesu ananipenda (ananipenda yeyee)
Yesu ananipenda yesu ananipenda (ooh ananipenda)
Ooh yesu ananipenda

Ameniponya bwana hakika ameniokoa  kwenye mikono ya shetani yesu amenitoa
Akanifia msalabani bwana kaniokoa  amenipenda
Kweli kweli nami nikampokea  yesu ananipenda
Neema yake imenifunika  eeyeh baraka zake zimenizunguka eeyeh
Na ulinzi wake umenizingira  eeyeh kwa mkono wake mi nikasimama  
Ndo maana mpaka sasa sichoki kumsifu bwana  yeyeh

Yesu ananipenda  yesu ananipenda (ananipenda)
Yesu ananipenda haki ya mungu ananipenda (ananipenda)
Yesu ananipenda  yesu ananipenda  yesu ananipenda
Haki ya mungu ananipenda (ananipenda)
Yesu ananipenda yesu ananipenda (ananipenda)  
Eeeh yesu ananipenda  (ooh ananipenda)
Yesu ananipenda yesu ananipenda (ananipenda)
Ooh yesu ananipenda  (ananipenda)
Yesu ananipenda  yesu ananipenda  (ananipenda)  
Eeeh yesu ananipenda (ananipenda yeyee)
Yesu ananipenda yesu ananipenda (ooh ananipenda)
Ooh yesu ananipenda

Ninajivika ujasiri kwa maana najua yupo mtetezi wangu
Ninatembea kifua mbele kwa maana najua yupo mkombozi wangu
Na sina mashaka wala siogopi tena aliye ndani yangu ni mkubwa kuliko vyote
Hakika ananifaa yesu ni mzuri sana  utukufu
Ni kwake kristo bwana wa milele hakika yesu ananipenda

Yesu ananipenda yesu ananipenda (ananipenda)  
Eeeh yesu ananipenda  (ooh ananipenda)
Yesu ananipenda yesu ananipenda (ananipenda)
Ooh yesu ananipenda  (ananipenda)  
Yesu ananipenda  yesu ananipenda  (ananipenda)  
Eeeh yesu ananipenda

Ameniponya bwana hakika ameniokoa  kwenye
Mikono ya shetani yesu amenitoa
Akanifia msalabani bwana kaniokoa  amenipenda
Kweli kweli nami nikampokea  yesu ananipenda

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2022

Album : Ushuhuda (Album)

Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

WALTER CHILAMBO

Tanzania

WALTER CHILAMBO  is a Gospel Singer and Song Writer from Tanzania. He was the winner at Epic Bo ...

YOU MAY ALSO LIKE